Mkataba wa Stegen ni kuanza mechi za UEFA kama hujui. Unashangalia lakini hujui. Bendera bana...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Unafuatilia Barca kweli ?...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Wakikutana nusu fainali je? Kwa mtazamo ni Real Madrid tu labda ndio anaweza kumtoa ATM nusu fainali. ManC na Bayern hawawezi kucheza mpira wa kulazimisha, ni ngumu sana kuwafunga wale jamaa.nimefurahi kinyama, and am sure fainali itakua beyern vs real madrid.
Unafuatilia Barca kweli ?
Te Stegen ndio anacheza mechi za UCL tangu amesajiliwa
Kimya kimya kakangu nyumba kubwa asisikie......ndo soka Hilo....Pole Dada angu
Mkataba upi refa msnge penat ya wazi ile ***** zakeMkataba wa Stegen ni kuanza mechi za UEFA kama hujui. Unashangalia lakini hujui. Bendera bana
Hatimaye utabiri wangu umetia. Iko wapi hiyo vice versaAtletico 2 - 0 Barcelona utabiri tu
vice versa may be [emoji1]
viva barca & viva msn
Dahhh!!! Pole yetu sote.....tugange yajayo tu.....timu zikibana pale nyuma zinatutesa sana. nimehuzunika sana.
Relax basiMkataba upi refa msnge penat ya wazi ile ***** zake
Mkataba upi refa msnge penat ya wazi ile ***** zake