FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna siku tulilijadili hili watu wakasema ooh tunamiliki mpira 80% hamuhitaji kuwa na beki bora ila nashukuru umeliona hilo.
...beki wa kati lazima;mascherano walimfix tu toka enzi ya Guardiola,coz tuna miliki sn mpira,ila hana attributes za beki wa kati,Pique nae anatakiwa mbadala wake,akiwa off form apatikane mwingine wa kucheza nafasi yake,in central midfield:
namuona Iniesta nae umri unaanza kumtupa mkono,spidi imepungua,anasababisha Messi ana drop too deep kutafuta mipira,hii inawapa ahueni wapinzani wetu,coz ni km vile tunabaki na watu wawili mbele.
Goalkeeper:
nashindwa kuelewa kwa nn siku hizi anacheza Ter Stegen?, is this all bcoz of that fuss anataka kuondoka,ndio wameamua kumpa nafasi?,sioni sababu ya kuhofia kuondoka kwake,coz release clause wamemuwekea kubwa sn,sioni hao man city km watakuwa na kiburi cha kumnunua,na hata wakimnunua hatuwezi kosa mbadala wake.Jamaa hanivutii bado hajaweza kumiliki goli,Bravo was our best,only just bcoz he is 33 or something ndio wameamua kumuweka benchi,sijui,kwa goalkeeper mbn umri is not an issue,kiwango ndio kina matter,kina Van de Sar wameendelea kudaka all the way,Oliver Khan,Gigi Buffon,majanga mengine tunajitakia bila sababu,lile goli tulilo concede Camp Nou kwenye first leg sikulipenda kbs na kwa namna moja au nyingine liliwa motivate sn Atletico.
However;mpira ndivyo ulivyo, kushinda,kufungwa,na draw ndio matokeo,although it will be much better, if they fix the above deficiencies come next season.
VIVA BARCA!
 
Poor Messi. Panama papers zimemuathiri sana . Hadi leo dk 500 (mechi tano na ushee) hajafunga goli!
...nop; this is not the first time afterall,to every futballer, a period like this always come and go, stop mentioning your papers here!
 
Wiki hii imekuwa na hisia mchanganyiko kwangu, kwanza Madrid kashinda ila dah, Mnyama kaukalia. Jana Barca kafa ( NIMEFURAHI SANA) ila Yanga kashinda, mpira bhana, ila mwisho wa siku jana kibanda umiza chetu tumeimba sana usiku. Mpira raha sana sababu ya msiba wa jana usiku, ni mkubwa sana wiki hii yote ni maombi na kuafariji wafiwa.

Eti MSN, jana Godin kawaweka kwapani wote tozi Neymer anaishia kicheza zile moves za The Matrix kumkwepa Godin akimtuliza, dogo tulia!!
Alafu ukiona Messi anakaba kwenye eneo la Barca na pia ana dive ujue shughuli ilikuwa pevu.
 
Umeanza kuangalia lini au umeanza kuifatilia lini barca...mpaka leo hujui kipa yupi anadaka uefa, copa del ley na yupi anadaka laliga
...kipa anaedaka la liga ndio anakuwa na Consistency inayotakiwa,coz ana game nyingi zaidi zinazompa match fitness,huwezi kuwa unasubiri kudaka UCL pekee, after every two weeks,or more,bora ku rotate strikers,ila sio kipa!
 
...mlifurahi sn kwa sababu Barca katoka,hahaaahaaa mnadhani angekuwa mbovu mngekuwa hata na muda wa kumfatilia?! think twice, and act wisely!
 
Doooohhhh!!! Pole sana dogo relax......hili ndo soka ,Leo maneno yote yatakutoka, mbona mimi niko Barca si lazima kila shabiki wa Man U awe Madrid ?
Ni wewe tu na ndo maana tuna mkosi Barca, toka lini Man U ukaipenda na Barca, embu nenda Madris uone kama Barca hatujabeba UEFA mara mbili. Dah, siamini kama tumetoka.
 
SABABU TANO MUHIMU ZA KUJIVUNIA KUIPENDA BARCELONA
1: timu pekee iliyochukua trebo mara mbili
2: timu pekee iliyoongoza wachezaji wake kutwaa uchezaji bora wa dunia mara nyini zaidi
3: timu pekee iliyobeba kombe la UEFA mara nyingi karne hii ya 21
4: timu pekee iliyowaboresha mastar waliotamba zaidi duniani Mf: Maradona De lima Dinho Cruyff n.k
5: TIMU PEKEE INAYOONGOZA KUTWAA JUMLA YA MATAJI YOTE ULAYA tangu 1899 ianzishwe had leo imetwaa makombe zaid ya 85

ZIPO SABABU NYINGI SAAANA ILA HIZO TANO NI BAADHI KATI YA SABABU MILIONI ZA KUIPENDA BARCA TOKANIKIWA NA 5yrs HIVYO WACATALONIA WENZANGU TUJIVUNIE KUWA BARCA hata hawa haters wote kumbukumbu zao zingefutwa kichwani alaf wangeambiwa wachague timu moja hakika wangeigombania Barcelona kama dhahabu
Kufungwa ni mojawapo ya matokeo hvyo SASA NGUVU YETU TUIELEKEZE KWENYE LA LIGA NA COPA DEL RAY

MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE
VIVA BARCELONA
 
...kipa anaedaka la liga ndio anakuwa na Consistency inayotakiwa,coz ana game nyingi zaidi zinazompa match fitness,huwezi kuwa unasubiri kudaka UCL pekee, after every two weeks,or more!
Kwani magoli aliyofungwa Ter Stegen ni ya uzembe wake?
 
...mlifurahi sn kwa sababu Barca katoka,hahaaahaaa mnadhani angekuwa mbovu mngekuwa hata na muda wa kumfatilia?! think twice, and act wisely!
The higher you go the clearer the target you become.
Ndio sababu watu wanaichukia, wengi sana nikiwamo mimi+mnashoboka sana nyie watu wa Barca, oooh messi, oooh msn.
Tumechoka na huu upumbavu.
 
Form yenu ya Mwezi huu ndo trend yenu mpaka ligi iishe.
Sijui la liga ipi hiyo, licha ya rekodi yenu ya karne ya 21 ebu itafute rekodi ya all time ya mbaya wenu, R. Madrid, ni ASTONISHING and MIND BOGGLING wazungu wanasema.
 
Form yenu ya Mwezi huu ndo trend yenu mpaka ligi iishe.
Sijui la liga ipi hiyo, licha ya rekodi yenu ya karne ya 21 ebu itafute rekodi ya all time ya mbaya wenu, R. Madrid, ni ASTONISHING and MIND BOGGLING wazungu wanasema.
...watoto wa waganga wa kienyeji utawajua tu;full ramli!
 
Form yenu ya Mwezi huu ndo trend yenu mpaka ligi iishe.
Sijui la liga ipi hiyo, licha ya rekodi yenu ya karne ya 21 ebu itafute rekodi ya all time ya mbaya wenu, R. Madrid, ni ASTONISHING and MIND BOGGLING wazungu wanasema.
Kwanza asante kwa kutopinga fact yeyote hapo pili Hivi mkuu kwa nini usiitangaze Arsenal yako ni hadi lini utadandiadandia timu za watu
 
WATU WALIKUWA WANASUBIRI BARCA IFUNGWE ILI IWE STORY KWA SABABU HAMNA ZAIDI YA KILELE. NA BARCA ILISHAFIKA KWENYE MAFANIKIO (TREBLE) WAACHENI KWA SABABU LAZIMA BARCA ASHUKA ILI APANDE TENA .KAMA VILE FIFA RANKS ZINAVYOCHANCE. HATA BAYERN ALIKUWA BORA AKALA 5 .MADRID ALITOLEWA NA JUVE.
VIVA BARCELONA
 
Kwani Madrid watafika wapi labda? Ni swala la muda tu.Barca sikuzote itabaki kuwa timu bora mtake msitake. Tumekufa kishujaa Kama simba
Unatumia vigezo gani kusema barca ni timu bora? Okei, ni timu bora ila sio kama mbabe wao R. Madrid. Kwa taarifa yako timu bora ya dunia ni R. Madrid ma imeizidi Barca kila kitu, kuanzia vikombe mpaka nani kamfunga mwenzake mara myingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…