everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Twende tukalale mdogo Wangu huku Leo watakupasua kichwa.....duh na kimvua kimeanza wacha mie nikafurahie sayansi ya Mungu.....usiku mwema....relax my dear fanya kama vile haijatokea...Viva Barcelona.Kwani timu za EPL zina miaka mingapi hazijatwaa Uefa