xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
bila shaka huyo mpira kaanza kufatilia mwaka jana achana nae.Una stress wewe kakojoe ulale ...sasa utalia mpka saa ngapi ukweli ndo huo Leo tulikuwa wabovuu kubali matokeo wacha kelele.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila shaka huyo mpira kaanza kufatilia mwaka jana achana nae.Una stress wewe kakojoe ulale ...sasa utalia mpka saa ngapi ukweli ndo huo Leo tulikuwa wabovuu kubali matokeo wacha kelele.......
Kwa hyo penat sio halali hv unafikir Barcelona kutoka ndio utatwaa Uefa ??
Si timu yako hawa Pagan the name bitoz belo n.k wote mpo man u ila mmeenda Madrid sababu ya Mmoroco alivyowahamaHahhahahha unalo baby!!!!! ......nimeshakuambia kakojoe Ulale .....kwa mfano hapa Man U inaingiaje???[emoji15] [emoji15]
mi nimesema 2 we utajua lawama za nanihuyo zidane hayaoni mapungufu yake mpaka aonyeshe ya barca nyie vp
Mimi ni mshabiki wa Barca but hapa JF kulikuwa na mshabiki mmoja tu wa Barca wa ukweli wengine wote washabiki maandaziSi timu yako hawa Pagan the name bitoz belo n.k wote mpo man u ila mmeenda Madrid sababu ya Mmoroco alivyowahama
My ribs [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mshabiki wa Barca but hapa JF kulikuwa na mshabiki mmoja tu wa Barca wa ukweli wengine wote washabiki maandazi
Doooohhhh!!! Pole sana dogo relax......hili ndo soka ,Leo maneno yote yatakutoka, mbona mimi niko Barca si lazima kila shabiki wa Man U awe Madrid ?Si timu yako hawa Pagan the name bitoz belo n.k wote mpo man u ila mmeenda Madrid sababu ya Mmoroco alivyowahama
Mkuu tatua matatzo yako ya Arsenal ya Barca tuachie wenyeweMi nilishasema Barca wakicheza 11 vs 11 hawatoki, wamezoea kucheza wao 11 na wengine 10 au 9.
Hamna namna, wapigwe tu!
Barcelona hatuna shabiki kama wewe na wala hatukutaki wewe rud EPLMimi ni mshabiki wa Barca but hapa JF kulikuwa na mshabiki mmoja tu wa Barca wa ukweli wengine wote washabiki maandazi
Labda upo Barcelona ya EcuadorDoooohhhh!!! Pole sana dogo relax......hili ndo soka ,Leo maneno yote yatakutoka, mbona mimi niko Barca si lazima kila shabiki wa Man U awe Madrid ?
Labda @buenos aires anajua alipo ila nae huyu kala kona, yawezekana wako wote.Kuna dada humu anaitwa jackline sijui yuko wapi yule?
Barca haiwezi kuwa na shabiki hata timu haijui,unaropoka tuBarcelona hatuna shabiki kama wewe na wala hatukutaki wewe rud EPL
Barcelona naijua kabla Kluivert saviola hawajafika Barcelona Nimetoka nayo mbali