FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Naona umeamua kushangilia Getafe. Subiri kesho ubakwe tena na Valencia. Barcelona mmeshakuwa bwawa sasa. Inaingia Tu bila breki.
mkuu njoo hali ya mgonjwa sio nzuri AMESHAKATA KAULI TYARI!
 
Vijamaa vya jiji la waasi haviwezi hata ku type mikono inatetemeka vimekimbia jukwaa
 
Duh! Sijui Barcelona wamekula maharage ya wap!!
 
Haji Manara kawatia gundu baada ya kuhoji kwanini Barca wanacheza katikati ya wiki halafu wanacheza UEFA lakini Yanga na Azam wanaachiwa tu sasa wote hali yao mbaya na mimi nasema mfungwe tu mmezidi kidomodomo sana
 
PNC and BuenosAires and Co., mgonjwa anatema uji huku, hali ni mbaya![/QUOTE]
kumbuka bado tupo kileleni. nyie endeleeni kuwasindikiza bayern UEFA.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…