Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sare ganiMnafurahia sare da kweli mlizidiwa
Mpira umeisha au badoSare gani
Ukisika paa ujue tayarMpira umeisha au bado
Vipi tena sare ya wapi kuna kitchen party mtu kapigwa huku kuna msiba tena kwenye kijiji cha catalunya pepo mauti limevamiaMnafurahia sare da kweli mlizidiwa
Last week kulikuwa na mjadala tunawaambia jamani back line yenu mbovu jibu jepesi tu wao wana miliki mpira sana so hawahitaji kuwa na ukuta bora sasa leo kama forward line ya valencia wangekuwa makini wangepata japo 4.😎😎😎bora wakose makombe yote akili itakaa sawa. Kucheza hivi hata kombe la mfalme kwa sevilla kutoka ni kazi.
So mambo ya 8 points clear hakuna tena?Kutoka kwenye hadithi za terebo hadi kwenda kufekenyua dokument za head to head, kweli maisha yanaenda mbio aisee