MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
kweli mkuu. Yaani Sergio stopper and distributor, Ukimbana huyo hawana cha kufanya, iniesta anajikuta anafanya kazi double. Huyu jamaa hata humu ametepeta sana leoLast week kulikuwa na mjadala tunawaambia jamani back line yenu mbovu jibu jepesi tu wao wana miliki mpira sana so hawahitaji kuwa na ukuta bora sasa leo kama forward line ya valencia wangekuwa makini wangepata japo 4.