...Barca to win all their remaining matches,it is still possible.!
#vivabarca!
Hivi ikayokea timu zote zikafungana point mpaka mwisho, yaani barca, atletico na real itakuaje? Maana mambo ya head to head, barca mechi ya mwisho kampiga atletico, real kampiga barca na atletico kampiga madrid, itakuaje?
Au wanaposema head to head battles wanamaanisha nino?
Maisha yanaenda mbio mnoNext game Barca anaweza draw tena hivo kumwacha Real na atlet wakiwania
Mwaka wa kupakatwa ndo huu, mmebebwa sana tu.Maisha yanaenda mbio mno
Kutoka timu isiyowezekana
Hadi timu inayofungwa kiurahisi
Inasikitisha sana yatapita tu....siangalii match but i don't like what am seeing. what happened to us? anyway, visca barca.
Barcelona bingwaHivi ikayokea timu zote zikafungana point mpaka mwisho, yaani barca, atletico na real itakuaje? Maana mambo ya head to head, barca mechi ya mwisho kampiga atletico, real kampiga barca na atletico kampiga madrid, itakuaje?
Au wanaposema head to head battles wanamaanisha nino?
Unaperuzi kwenye gazeti la Sani au IjumaaNilikuwa naperuzi msimamo wa Laliga hiyo MSN inayosifiwa mbona ipo nyuma ya BBC kwenye scoreline kwa ujumla wake??
Barcelona 88 goals
Madrid 98 goals
Madrid kamweeeeeee hawezi kuwa bingwa ataambulia patupu hapat hata UefaDeportivo anatoa draw na barca amini hili nisemalo
Na huyu jamaa mwingine atletico hamfungi Bilbao
Sio kuchoka pekee hata dua mbaya kutoka kwa maadui zinawachoshaSiyo Mbaya na hili nalo litapita.....halafu wachezaji wengi wamechoka sana wamecheza mfululizo bila kupumzika....next mambo yatakaa poa .
Haters wanaleta nguvu ya kufight zaidi na zaidi ,yatapita tu....Sio kuchoka pekee hata dua mbaya kutoka kwa maadui zinawachosha
Sio kuchoka pekee hata dua mbaya kutoka kwa maadui zinawachosha