Barca itabaki timu bora haijalishi yaliyotokea.
Nishakuambia Barca ni team bora kwa kipindi chote.take it or leave itNdio unasema nini sasa? Basi tuseme hata Getafe Ni timu bora haijalishi yaliyotokea
Hizi ni football nightmares tu na zinatokea kwa vkila klabu duniani bado barca ni bingwa laliga na Copa de Ray yetu
Nishakuambia Barca ni team bora kwa kipindi chote.take it or leave it
Jana alidaka Bravo. Vipi naye hafai?...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Waza utakavyo maana hapo ndo akili zako zilipoishia. Kama Dada yako ana akili fupi unategemea wote wana akili fupi Kama Dada yako. Pole Sana.Hawa Fanboys wa Messi bhana, mi nilifikiri wameweka picha za dada zao Tu kwenye avatar, kumbe wamebeba na akili kabisa. #Loserlona.
...angalia, usiwe unajichosha kujibizana na vitoto, vimejaa vingi sn huku,ukivibana kdg tu,vinamwaga mitusi hatari!Waza utakavyo maana hapo ndo akili zako zilipoishia. Kama Dada yako ana akili fupi unategemea wote wana akili fupi Kama Dada yako. Pole Sana.
...em katengeneze hiyo saa kwanza!Jana alidaka Bravo. Vipi naye hafai?
Waza utakavyo maana hapo ndo akili zako zilipoishia. Kama Dada yako ana akili fupi unategemea wote wana akili fupi Kama Dada yako. Pole Sana.
...angalia, usiwe unajichosha kujibizana na vitoto, vimejaa vingi sn huku,ukivibana kdg tu,vinamwaga mitusi hatari!
Hahaaaa nimeuliza tu mkuu....em katengeneze hiyo saa kwanza!
...em kwanza katafute dini ndio uje hapa!Sasa hivi umepata akili ndio unatuambia kwamba wewe Ni mtu mzima. Endelea.... Na mkibakwa na Deportivo wiki hii nategemea utatajaja mpaka birthday yako. Hahaha! I'm lovin' it!
...sishangai kbs mtoto wa mama kama huyu kukimbilia Real,huko ndio nyumbani kwao!,Real si ndio klub ya watoto wa mama,inatunzwa na mfalme!q
Nani huyu....?
viva BarcelonaNachojua mimi hiki ni kipindi cha mpito. Barca bado tupo imara. Nawaakikishi bila shaka yoyote kuwa la liga tunaitetea. Tuna game tana bado na ni nyepesi sana . 3 tutakuwa away na mbili home. Tuna depotivo, sporting gijon, raal betis, granada na espanyola. Sasa tunashindwaje kuchukua hii ndooo!?
Niwatoe shaka ndugu zangu Aleyn, PNC 1, dada'ngu wa ukweli everlenk, jd41, na wengine.
kamshonee zizu kirakaViva Jamvi la wageni. Vivaaaa!!!