FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hizi ni football nightmares tu na zinatokea kwa kila klabu duniani bado barca ni bingwa laliga na Copa de Ray yetu
 
Hizi ni football nightmares tu na zinatokea kwa vkila klabu duniani bado barca ni bingwa laliga na Copa de Ray yetu

Nishakuambia Barca ni team bora kwa kipindi chote.take it or leave it

Hawa Fanboys wa Messi bhana, mi nilifikiri wameweka picha za dada zao Tu kwenye avatar, kumbe wamebeba na akili kabisa. #Loserlona.
 
...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Jana alidaka Bravo. Vipi naye hafai?
 
Hawa Fanboys wa Messi bhana, mi nilifikiri wameweka picha za dada zao Tu kwenye avatar, kumbe wamebeba na akili kabisa. #Loserlona.
Waza utakavyo maana hapo ndo akili zako zilipoishia. Kama Dada yako ana akili fupi unategemea wote wana akili fupi Kama Dada yako. Pole Sana.
 
...angalia, usiwe unajichosha kujibizana na vitoto, vimejaa vingi sn huku,ukivibana kdg tu,vinamwaga mitusi hatari!
 
q

Nani huyu....?

13043428_793369150764611_8554112410074211541_n.jpg
 
...angalia, usiwe unajichosha kujibizana na vitoto, vimejaa vingi sn huku,ukivibana kdg tu,vinamwaga mitusi hatari!

Sasa hivi umepata akili ndio unatuambia kwamba wewe Ni mtu mzima. Endelea.... Na mkibakwa na Deportivo wiki hii nategemea utatajaja mpaka birthday yako. Hahaha! I'm lovin' it!
 
...em kwanza katafute dini ndio uje hapa!
 
...Barca kupoteza mechi kadhaa watu wametoka kwenye mashimo!,bora hata kidogo mpate oxygen,hali ilikuwa tete!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nachojua mimi hiki ni kipindi cha mpito. Barca bado tupo imara. Nawaakikishi bila shaka yoyote kuwa la liga tunaitetea. Tuna game tana bado na ni nyepesi sana . 3 tutakuwa away na mbili home. Tuna depotivo, sporting gijon, raal betis, granada na espanyola. Sasa tunashindwaje kuchukua hii ndooo!?

Niwatoe shaka ndugu zangu Aleyn, PNC 1, dada'ngu wa ukweli everlenk, jd41, na wengine.
 
viva Barcelona
 
Back
Top Bottom