FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

PNC 1 sio wa kumzingatia ni mtu asiyejielewa, kwenye mechi real madrid alisema wakifungwa anaacha kushabikia mpira....hola

mechi ya atletico alisema wakifungwa atajipiga ban....wamepigwa ....hola bado yupo anazururA tuuu humu!

Jamaa magumashi
 
Mwenyewe shaka sina Laliga ni yetu.
 
Mwenyewe shaka sina Laliga ni yetu.



Ni vizuri kujipa moyo. Binafsi naifananisha Barcelona na jamaa aliyetumia condoms kujikinga kwa maisha yake yote. Baadae anakuja kufa kwa kipindupindu. Inasikitisha kwa kweli.
 
Viva Barcelona. Now tumekuja kwa nguvu mpya hari mpya na Kasi ya ajabu.
DEPORTIVO vs BARCELONA tunachokitaka kwao ni 3point. Barcelona kumekuchaaa Viva Barcelona. Unbeaten rekod inaanza leo SAA 3 ucku KARIBU
 
Hivi Man U mnashiriki LA LIGA? PNC njoo unisaidie hapa.
Naona unanitafuta!!! Nikiongea utapotea humu we haya !!!!!......tuko Spain hatuko OT aliyenitag anajijua msimamo Wangu kazi kwenu mashabiki mandazi.......
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…