FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi PNC 1 Ni mshabiki wa barcelona ipi???

maana napata mashaka hapa haelewi ni mchezaji gani yupo fit na yupi ni majeruhi kwenye timu yao!!!

hawa ndio tunaita mashabiki wa kushangilia ushindi tuu, na mkuu barafuyamoto aliwahi kusema hawa jamaa ni mashabiki wa mkopo naona kuna ukweli HAPA!

dissappointed
Huyu jamaa alikuwaga Arsenal ila ni mnafiki.
PNC 1
 
najua wale wapiga kelele walovamia huku hawatakosa la kusema tu. visca el barca
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Too late, toka gepu ya point tisa mpaka zero?? Watadrop tu, hawa vibonde!
Kama hujui nakujuza Diportivo la Coruna ashatwaa UEFA hvyo ucwazarau sababu Arsenal na kushirik kwao kote UEFA wameambulia kufika final Mara 1
 
Back
Top Bottom