Kama hujui nakujuza Diportivo la Coruna ashatwaa UEFA hvyo ucwazarau sababu Arsenal na kushirik kwao kote UEFA wameambulia kufika final Mara 1
kwa hyo unataka kusema nini kuhusu arse8Hata Aston Villa ilikuwaga timu kubwa, kacheki historia yake!
Mbona hizi goli 2:0 man u anazoongoza sikuziona kwa TottenhamMbona hizi goli 8 kwa atletico sikuziona
Kwahiyo Leo derpotivo hajabebwa kama atleticoMbona hizi goli 2:0 man u anazoongoza sikuziona kwa Tottenham
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ninachojua hajapewa red card hvyo najiuliza tumemfungaje ?? Maana mnasemaga Barcelona haishindi bila redKwahiyo Leo derpotivo hajabebwa kama atletico
[emoji2] [emoji2] [emoji2] naona Leo utakesha humu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ninachojua hajapewa red card hvyo najiuliza tumemfungaje ?? Maana mnasemaga Barcelona haishindi bila red
kwa hyo unataka kusema nini kuhusu arse8
Mkuu hebu lala na ukumbuke kumeza vidonge vyako vya Arse8 maana naona ushaanzwa kupandwa na homa yako ya Arse8Jersey za Spurs zimeandikwa: AIA
Maana yake ni Arsenal Is Almight.
mimi sijiulizi nimeshindaje ila unbeaten run ndio imeanza kazi yenu itakuwa ni kuhesabu[emoji2] [emoji2] [emoji2] naona Leo utakesha humu.
Ndo ujiulize wewe Leo mmeshindaje
Mbwembwe tu hizomimi sijiulizi nimeshindaje ila unbeaten run ndio imeanza kazi yenu itakuwa ni kuhesabu
Mbwembwe tu hizo
Hili cheko duuuh
Namcheka bwana Panadol Na Cake 1 (PNC 1)Hili cheko duuuh
[emoji2] [emoji2] Leo atakeshaNamcheka bwana Panadol Na Cake 1 (PNC 1)
Ana mbwembwe km kishada
Kariri hicho kirefu cha PNC 1[emoji2] [emoji2] Leo atakesha
Panadol Na Cake 1Kariri hicho kirefu cha PNC 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............