FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona nmaijua si ajab hata ww hukuwa una ijua, kuchelewa kujiunga na jf cyo ttzo
Ni kweli kuchelewa kujiunga sio tatizo...ila kuchelewa kujiunga jf kunasababisha unakua unavamia nyuzi za watu bila kujua kila timu ina uzi wake jf....ebu tulia kidogo ujifunze...

Tafuta uzi unaohusu timu yako
 
Reactions: PNC

Furesh leo nachangia alaf cji tena

Ila ikibid naja
 
Sherehe za ubingwa lazima aletwe mkewe Pique kunengua Ile Dios Mio, loca loca loca! Jez, I love stripers.
 
Reactions: PNC
Kuna mwenye matatizo ya akili anatuchafulia Uzi kwa upuuzi anaoandika. Kero tupu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wazoee mkuu na wengi wao wenye chuki na Barcelona wanatokea EPL hao ndio wanaumia kuliko hata Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…