Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
Nna kusudia kusema vyote viwilitatizo lako ni mbishi na ubishi wenyewe hauna fact zozote unachanganya choroko na mbaazi
ivyo unacho kikusudia wee ni kipi hebu kuwa muwazi uweleweke unamaanisha barca spain hana mpinzani au anapendelewa au vipi?