jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,847
...Suarez afunge jingine moja tu,yule mwali wa morocco keshatolewa,wamemuhurumia asije pasuliwa msamba!
Pichichi peleka Barca...na ndoo pia peleka Barca!
...Hii dharau sana,jamaa tumewaacha msimu mzima, tukaona isiwe tabu hebu tuwasubiri hata hizi game tano za mwisho,vibuyu wakachekeleaaa ooh tunamkamata Barca!, masikini hawakujua Barca mashine!
Hata ligi ya mechi tano tumewashinda!!!!