Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mungu asaidie hawa granada wasije kutia kitumbua mchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuwi mabingwaMuda mchache ujao Barca tunakuwa mabingwa.
Kuwa mpole subiri uone gozi liko uwanjaniHamuwi mabingwa
Na hapo ndo barca mtakapo fungwaKwa mara ya kwanza kwenye mechi ya ligi kipa Ter Stegen ameanza badala ya Bravo!
Asante saaaaaaaaaaanaDaaah hongereni sasa