FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Congrats BARCA OR EL BARCA au ukipenda BARCADRINYO,

hivyo tumeshafunga ndoa na madrid leo, now tunakula bata tu, everlenk nimekumiss sana mpenzi wa Barca! Ukwapi?
 
13233115_1003641833022707_7983336655231117807_n.jpg
13239055_1003641839689373_1136988962076604190_n.jpg
2016-05-14_GRANADA-BARCELONA_23-Optimized.v1463249676.JPG
2016-05-14_GRANADA-BARCELONA_21-Optimized.v1463249663.JPG
_AAA1849-Optimized.v1463249667.JPG
 
Hongereni barca fans woooooote including PNC 1, Red Giant, Aleyn, jackline1, dadangu everlenk, mnazi wa ukweli jd41, mrembeshaji wa jukwaa chebi PAGAN, DANYY greeny na wote ambao sikuwataja hapa.

Mwisho niwape pole real madrid kwa kutoka mikono mitupu kwa mwaka wa nne sasa. Nimewazawadia goal la pili alilofunga suarez kwenye mechi ya leo akipata assist toka kwa dan alves liwe kifuta machozi chao.

Hongereni kwa mara nyungine.
 
tumeshawazoea na ukipenda sema laligalona kama kule uefalona hapa ni mwendo wa makombe tuu ukiichukia barca uanjipa ugonjwa wa moyo
Uefalona uwa tuna maanisha mna pendelewa na uefa

Ila laligalona yaan hata huwa hamshindani

Kidoogo mnapendelewaga na marefa, ila mshakuwa psg wa kwenu
 
Hulijui soka k ufupi na vyema ukanyamaza ila vyema ukaongea ukweli uache upenz na unaz au kupenda kuongea kile unacho kipenda moyon daima ukwel unabak pale pale kuwa Barcelona ndio best of the best against hvyo unavyo vpenda
 
Cja ongelea upenzi, mi ninejisema mshakuwa PSG wa uko spain

Mbona ni kweli kabsa hyo
 
Uefalona uwa tuna maanisha mna pendelewa na uefa
Ila laligalona yaan hata huwa hamshindani
Kidoogo mnapendelewaga na marefa, ila mshakuwa psg wa kwenu
hatushindani wakati toafauti ya point 1 tu na mtu wa 2 bingwa kapatikana last day of the league kule epl tayri day ya 35 bingwa alishajuulikana karibu toafauti ya point 10 france ndio usiseme sasa sijui hapo huo ushindani unataka uweje nasema tena nyie anti barca tumeshawazoea tukipigwa hatuna mpango tukishinda tunabebwa . tunapendelewa na kama unasema ushindani hamna hizo gem tulizo kula kichapo hizo timu zilitoka wapi usiongelee tu kwa sababu unaichukia barca ukanza kuatafuta vijisibabu vya kutokubali ukweli
 
Bingwa wa ligi hupatikana nda wowote ndugu

Mechuka Mara 6 katika miaka 8, you own that league

Kuchukua ni kuchukua tuu haijalishi mda gani ndugu, hzo ni style tuu ila wachukuaji wale wale
 
ukisema psg wa spain unamaanisha nini kwanza fafanua hilo usiropoke tu
Nikisema PSG wa spain

Ni sawa na kuwaita PSG
Barcelona wa ufaransa

Mkianza ligi znu muwe mna pewa na makombe kabsaa
 
Bingwa wa ligi hupatikana nda wowote ndugu

Mechuka Mara 6 katika miaka 8, you own that league

Kuchukua ni kuchukua tuu haijalishi mda gani ndugu, hzo ni style tuu ila wachukuaji wale wale
tatizo lako ni mbishi na ubishi wenyewe hauna fact zozote unachanganya choroko na mbaazi
ivyo unacho kikusudia wee ni kipi hebu kuwa muwazi uweleweke unamaanisha barca spain hana mpinzani au anapendelewa au vipi?
 
Hahaha

We umeeelewa vipi kwan!!?
 
Nikisema PSG wa spain

Ni sawa na kuwaita PSG
Barcelona wa ufaransa

Mkianza ligi znu muwe mna pewa na makombe kabsaa
Ngoja nijaribu kukuelewa tofaut na wenzangu...una maana ya kua barca ni bora ndo maana wanachukua laliga au inabebwa ila kuchukua taji laliga..?
 
WABONGO MAISHA YOTE TUKO NYUMA NA TUTAZIDI KUWA NYUMA UNAULIZWA SUALI HUJIBU KWANZA UNAULIZA SUALI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ulivyo visema vytee nime maanisha
 
Back
Top Bottom