[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe bila kupost hapa hujisikii raha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nlikuwa nakutafuta mkuu, nakipita apa niwasalim kdogo
Jina la Arsenal shabiki wa man U hahaha hataree, nyie barca ndugu zangu mara moja moja[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe bila kupost hapa hujisikii raha
ss hatutaki undugu na wewe[emoji53]Jina la Arsenal shabiki wa man U hahaha hataree, nyie barca ndugu zangu mara moja moja
Bas sawa mkuuss hatutaki undugu na wewe[emoji53]
itakuwa vzur maana Barca hatuna urafiki na mashetani mekunduBas sawa mkuu
Ngoja nitawanyike mdogo mdogo
Hayaitakuwa vzur maana Barca hatuna urafiki na mashetani mekundu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haya
Karibu kule man u utusalimie bhana sku moja moja
Lakin nmeskia pique alitaka kupgana na yule dogo wa espanyol
Aaah acha nisimseme apa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sawa mimi kama Admin nitakupiga banMwache aende huyu.... atakuwa alikuwa ametumwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Duuuh Id 2 Sha mutep na Sczencly
Nipooo wapenzi wangu nilikuwa sehemu isiyo na network daaaahhhh!!! Nilimiss sana......lakini nafurahi sana kwa Ubingwa huu kwa Mara nyingine Tena........ #GrandeeBarca........hongereni sana mashabiki wote wa Barca....Bravo majeruhi. bado dk 45 iniesta akabidhiwe ndoo. everlenk, BuenosAires , Bitoz PAGAN na The Name nanyi mnakaribishwa.
Congrats BARCA OR EL BARCA au ukipenda BARCADRINYO,
hivyo tumeshafunga ndoa na madrid leo, now tunakula bata tu, everlenk nimekumiss sana mpenzi wa Barca! Ukwapi?
Hongereni barca fans woooooote including PNC 1, Red Giant, Aleyn, jackline1, dadangu everlenk, mnazi wa ukweli jd41, mrembeshaji wa jukwaa chebi PAGAN, DANYY greeny na wote ambao sikuwataja hapa.
Mwisho niwape pole real madrid kwa kutoka mikono mitupu kwa mwaka wa nne sasa. Nimewazawadia goal la pili alilofunga suarez kwenye mechi ya leo akipata assist toka kwa dan alves liwe kifuta machozi chao.
Hongereni kwa mara nyungine.
Natamani nifanye voice recording[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....tukimaliza kazi tutavalishwa taji. aneyejua huu wimbo kwa kinyakyusa tafadhali!
Asee nipo, najituma mwenyewe tuuMwache aende huyu.... atakuwa alikuwa ametumwa
umetisha sana sister!! kula like.Natamani nifanye voice recording[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....
"Bhotumalile imbombo kwisa kufwala inginga"..........
Ingiga Barcelona..... ingiga aaaaaaaaaaa ingiga.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
umetisha sana sister!! kula like.
Asee nipo, najituma mwenyewe tuu
Natamani nifanye voice recording[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....
"Bhotumalile imbombo kwisa kufwala inginga"..........
Ingiga Barcelona..... ingiga aaaaaaaaaaa ingiga.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] anafikir humu ni sawasawa na majukwaa uchwara ya EPLAlaf wewe YEBO YEBO fan huwa unatusumbua sana humu, hujui hili jukwaa ni la wakubwa?