FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Nlikuwa nakutafuta mkuu, nakipita apa niwasalim kdogo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe bila kupost hapa hujisikii raha
 
itakuwa vzur maana Barca hatuna urafiki na mashetani mekundu
Haya
Karibu kule man u utusalimie bhana sku moja moja

Lakin nmeskia pique alitaka kupgana na yule dogo wa espanyol

Aaah acha nisimseme apa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mwache aende huyu.... atakuwa alikuwa ametumwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sawa mimi kama Admin nitakupiga ban
 
Bravo majeruhi. bado dk 45 iniesta akabidhiwe ndoo. everlenk, BuenosAires , Bitoz PAGAN na The Name nanyi mnakaribishwa.
Nipooo wapenzi wangu nilikuwa sehemu isiyo na network daaaahhhh!!! Nilimiss sana......lakini nafurahi sana kwa Ubingwa huu kwa Mara nyingine Tena........ #GrandeeBarca........hongereni sana mashabiki wote wa Barca....
Congrats BARCA OR EL BARCA au ukipenda BARCADRINYO,

hivyo tumeshafunga ndoa na madrid leo, now tunakula bata tu, everlenk nimekumiss sana mpenzi wa Barca! Ukwapi?

Hongereni barca fans woooooote including PNC 1, Red Giant, Aleyn, jackline1, dadangu everlenk, mnazi wa ukweli jd41, mrembeshaji wa jukwaa chebi PAGAN, DANYY greeny na wote ambao sikuwataja hapa.

Mwisho niwape pole real madrid kwa kutoka mikono mitupu kwa mwaka wa nne sasa. Nimewazawadia goal la pili alilofunga suarez kwenye mechi ya leo akipata assist toka kwa dan alves liwe kifuta machozi chao.

Hongereni kwa mara nyungine.
 
tukimaliza kazi tutavalishwa taji. aneyejua huu wimbo kwa kinyakyusa tafadhali!
Natamani nifanye voice recording[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....

"Bhotumalile imbombo kwisa kufwala inginga"..........

Ingiga Barcelona..... ingiga aaaaaaaaaaa ingiga.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umetisha sana sister!! kula like.
 
Natamani nifanye voice recording[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....

"Bhotumalile imbombo kwisa kufwala inginga"..........

Ingiga Barcelona..... ingiga aaaaaaaaaaa ingiga.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mambo mpennzi..hicho kilugha cha wapi tena?
 
Back
Top Bottom