FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Alaf wewe YEBO YEBO fan huwa unatusumbua sana humu, hujui hili jukwaa ni la wakubwa?
Hahaha, habar yako mkuu

Nimeacha usumbufi sku hz, ntakuja kesho kuwapa hi, kama shabiki namba moja wa Sevilla
 
Reactions: PNC
Hahaha, habar yako mkuu

Nimeacha usumbufi sku hz, ntakuja kesho kuwapa hi, kama shabiki namba moja wa Sevilla

Poa poa mi mzima..karibu sana

co mbaya kuwa na shabiki pinzani tunapenda sana...ila Ninaamini ipo siku utaipenda Barca! team bora ulimwenguni maana dalili zako zinaonyesha dhahiri
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] anafikir humu ni sawasawa na majukwaa uchwara ya EPL

😀😀 Ukifuatilia comment za liverpool fans be4 final na sevilla utacheka,, walijiamini wakajua kombe ni la kwao yaani nilicheka, nikaona nisichangie chochote tusubiri hiyo cku tuone izo mbwembwe zao
 
Reactions: PNC
Leo ni Fainal ya Kombe la Mfalme Dhidi ya Sevilla Usiku wa Leo kuanzia SAA 4:30 uwanja wa Vicent Calderon.

VIVA BARCELONA
 
Wa kubebwa mpoo!!

Ntakuja baadaye kama balozi wa sevilla kwenye hii thread ya barca
 
Reactions: PNC
Ubingwa wa Leo wa Barcelona utaifanya Barcelona iwe imetwaa jumla ya mataji 90 tangu kuanzishwa kwake na itaendeleza rekod ya Klabu yenye jumla ya makombe mengi baranj ulaya nyuma ya R.Madrid wenye 82
 
Alaf we data za uongo hzi umetoa wap
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…