Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
Hahaha, habar yako mkuuAlaf wewe YEBO YEBO fan huwa unatusumbua sana humu, hujui hili jukwaa ni la wakubwa?
Nimeacha usumbufi sku hz, ntakuja kesho kuwapa hi, kama shabiki namba moja wa Sevilla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, habar yako mkuuAlaf wewe YEBO YEBO fan huwa unatusumbua sana humu, hujui hili jukwaa ni la wakubwa?
Kinyakyusa hiki dear....Mambo mpennzi..hicho kilugha cha wapi tena?
Hahaha, habar yako mkuu
Nimeacha usumbufi sku hz, ntakuja kesho kuwapa hi, kama shabiki namba moja wa Sevilla
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] anafikir humu ni sawasawa na majukwaa uchwara ya EPL
Hivi wewe ni Me au Ke?Wa kubebwa mpoo!!
Ntakuja baadaye kama balozi wa sevilla kwenye hii thread ya barca
Tuanze na wwe je wew ni me au ke!!?Hivi wewe ni Me au Ke?
Supersport 3 ila kwa wale wa live stream hata bein sport hawawez acha kuoneshaGame itaonyeshwa na channel gani?
Ubingwa wa Leo wa Barcelona utaifanya Barcelona iwe imetwaa jumla ya mataji 90 tangu kuanzishwa kwake na itaendeleza rekod ya Klabu yenye jumla ya makombe mengi baranj ulaya nyuma ya R.Madrid wenye 82
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hii itakuwa ni siku njema sana ninayoisubiriaFuraha itakamilika pale Real Madrid atakapopigwa na Atletico trh 28
[emoji23] you wishFuraha itakamilika pale Real Madrid atakapopigwa na Atletico trh 28
Alaf we data za uongo hzi umetoa wapUbingwa wa Leo wa Barcelona utaifanya Barcelona iwe imetwaa jumla ya mataji 90 tangu kuanzishwa kwake na itaendeleza rekod ya Klabu yenye jumla ya makombe mengi baranj ulaya nyuma ya R.Madrid wenye 82
Uje na kopo la panadol for any emergence ili ukihis maumivu, utumie!!Wa kubebwa mpoo!!
Ntakuja baadaye kama balozi wa sevilla kwenye hii thread ya barca