FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimefurahi mno tumeibuka na ushindi wa 3-1, ushindi kwa Barca ni kitu cha kawaida mno, nilijua tutashinda tu
 
Reactions: PNC
Karib sana mkuu....

Kamwe hutajutia uamuzi wako.
 
Alaba aliongea huku akiwa ka lewa ee!!?
 
Reactions: PNC
oooh karibu sana mkuu kwenye familia ya Catalonia[emoji4] [emoji4]
 
Nasikia yule beki wa celtic O'conell mlikuwa mnamtafuta..na mechi ya jana ndio ilikuwa ya kumpima sawa sawa kama ataweza kumhimili mess na suarez...jamaaa yuko vizur...toeni mpunga sasa...
 
Jordi Masip
6 Denis Suárez
7 A. Turan
9 L. Suárez
10 L. Messi
15 Marlon
17 Munir
18 Juan Cámara
20 Sergi Roberto
22 Aleix Vidal
24 J. Mathieu
 
Uefa...

Griezzman kafunga magoli 7 na katoa assist moja..... amekuwa mshindi wa pili


Messi kafunga magoli 6 na katoa assist 1.....


La liga....

Messi kafunga magoli 26 na katoa Assist 16... messi kachukua kombe

Griezzman Kafunga magoli 22 na katoa assist 5.... Griezzman alimaliza namba Tatu


Kombe la mfalme

Messi kafunga magoli 5.... hapa messi alichukua kombe


Griezzman kafunga magoli 3..

Copa America...( hili linaweza likawa irrelevant)

Messi kafunga magoli 5 na katoa assist 4... kawa mshindi wa pili..


Uefa Euro..

Griezzman kafunga magoli 6 amekuwa mshindi wa pili...

Total number of goals

Messi .. 42

Griezzman... 38..

Total number of Cups

Messi... 2
Griezzman 0.....

statistics kwa msaada wa BBC sport....

swali kimetumika Kigezo gani Griezzman kuwemo na kazidiwa kila kitu na messi from goals , assists to trophies...

unaposema messi hakuwa na msimu mzuri uje na authority kuonyesha kwamba huo msimu mmbaya wa messi amepitwa nini na Griezzman...

huyo Bale hata simtaji maana kuwepo kwake na Suarez kutokuwemo ni matusi ya wazi kwa mpira...
 

Ubora wa mchezaji sio kufunga magoli/kutoa assist.Canavaro alikuwa mchezaji bora na hakufunga goli wala kutoa assist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…