Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Performance yake toka pre-session ilikuwa ya kuvutiaHatari sana huyu dogo
Tuko pamoja mkuukwanza natoa shukrani zangu za dhati za kipekee zimwendee mkuu P.N.C kwa jitihada anayoifanya katika jukwaa letu hili
big up mkuu PNC pili big up kwa mafans wote wa barca nategemea season hii tutachukua makombe yote kama vile tulivyochukua 2014/2015 nasema visca barca visca catalunya wakaanga sumu wataumiya saana hapo watajipa ugonjwa wa moyo
WAnakaanga sumu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mkuu PNC wakina pele lamek na elly corner matokeo ya sevila na barca wamekimbiza simu zao mifukoni
Digne kacheza vizuri sana beki. Team imebalance Mathew alivotoka. Denis suarez nae anajitahidi sana ila naona bado muoga muoga hivi.
Tuko pamoja mkuu
Next Match ni Jumatano Sevila wanakuja Camp Nou kuhitimisha 2nd Leg Super Cup Spain
Mda SAA 6:00 usiku E.A.T
VIVA BARCELONA
Tuko pamoja mkuuThank u so much mkuu kwa match schedule
LEO SAA 6 KAMILI USIKU NI MUDA WA SHOO ZA KIKUBWA MDA WA BARCELONA KUFANYA YAO
NI MECHI YA KUHITIMISHA BINGWA MPYA WA SUPER CUP SPAIN.
BARCELONA wazee wa kuwachakaza Vs Sevila
Viva Barcelona
Club pendwaaa duniani inayochukiwa na wasiojua mpira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemkumbuka PAGAN mtu wangu wa nguvuNa wanaoichukia ni wachache sana na ndio wanaotudisturb humu jf, si unaona Szczesny amebakia peke yake akiishangilia tim yake, wakati wenzake akina pagani washachoka na hilo litimu na kuhamia baca.