FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Neymar ambaye bado hayupo na kikos cha Barcelona. Ameng'ara huko Brazil baada ya kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 6 dhidi ya Honduras michunano ya Olympic
 
KIKOSI CHA FC BARCELONA
C. Bravo
5 Busquets
6 Denis Suárez
7 A. Turan
10 L. Messi
14 J. Mascherano
17 Munir
19 L. Digne
21 André Gomes
22 Aleix Vidal
23 S. Umtiti
 
Barcelona 1 Sevila 0
Arda Turan goal
Assist King Messi

Dakika ya 42:
 
Barcelona amekuwa bingwa mpya Super Cup Spain baada ya kuibuka kwa jumla ya ushindi wa goli 5:0
Ambapo mechi ya kwanza iliyochezwa huko Sevila Barcelona ilishinda 2:0 kwa magol yaliyofungwa na Suarez pamoja na Munir huku mechi ya pili ikichezwa leo na Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 3:0 magoli yaliyofungwa na Arda Turan (2) pamoja na King Messi

Viva Barcelona bingwa mpya wa Supercopa de Espana
 
Lionel and Andres win their 7th Supercopa title,
setting a new all-time record.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…