FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna mashabiki wa hovyo kweli yaani anaongozwa na emotions zake na kuukataa ukweli daah poor plastic funs. Visca el barca # gracious king messi.
 
Reactions: PNC
Kuna mashabiki wa hovyo kweli yaani anaongozwa na emotions zake na kuukataa ukweli daah poor plastic funs. Visca el barca # gracious king messi.
Wanaojua na wasioongozwa na emotions washaamua tayari kubwa mchezaji bora wa ulaya ni CR7.

Mimi na wewe ambao hata sheria 17 za mpira wa miguu hatuwezi kuzijataja na kuzielezea kwa ufasaha tutabisha bure tu.
 
Tuzo ya Suarez kapewa Ronaldo
Huyo Suarez hata kwa Griezman asingeweza kucompete naye..

Sasa huyo Suarez kasaidia Barca tu kutwaa kikombe kimoja cha Laliga ndo aje kucompete na Ronaldo aliyetwaa vikombe viwili vikubwa kabisa ulaya..!!

Hii ilikiwa aihitaji hata microscope kuona bacteria.

Na tunawasubiria tena Ballon d'or tuone mkitokwa povu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
 
Ter Stegen, Mascherano in
Barcelona squad for Athletic clash
27 August 2016
Barcelona have Marc-Andre ter Stegen and
Javier Mascherano available for Sunday's LaLiga
clash against Athletic Bilbao.
The Germany goalkeeper is back after recovering
fully from a knee ligament injury that kept him
out of the Supercopa de Espana matches against
Sevilla and the 6-2 win over Real Betis last
week.
Mascherano also returns after resuming training
this week, while Andre Gomes is in the squad
having served a suspension and Rafinha is back
after Brazil's Olympic Games triumph.
Ter Stegen is expected to start the match, with
new signing Jasper Cillessen not included in
the squad and Claudio Bravo having completed
his transfer to Manchester City.
Captain Andres Iniesta remains sidelined with a
knee injury, while defender Jeremy Mathieu is out
with a hamstring problem and Neymar on an
extended holiday after Rio 2016.
 
Wanaojua na wasioongozwa na emotions washaamua tayari kubwa mchezaji bora wa ulaya ni CR7.

Mimi na wewe ambao hata sheria 17 za mpira wa miguu hatuwezi kuzijataja na kuzielezea kwa ufasaha tutabisha bure tu.

Kwaiyo hapo ulipo ni shabiki mandazi?
 

Barcelona, Hispania.

BARCELONA imeongeza sura nyingine mpya katika kikosi chake hii ni baada ya mchana huu kutangaza kumsajili mlinda mlango wa Uholanzi,Jasper Cillessen,kutoka Ajax kwa ada ya €14 m.

Cillessen mwenye umri wa miaka 27 amesaini mkataba wa miaka mitano utakaomweka Barcelona mpaka mwaka 2021 na anatarajiwa kuanza kuichezea klabu hiyo Jumamosi hii pale itakaposhuka dimbani kupepetana na Athletic Bilbao akichukua nafasi ya Andre ter Stegen aliye majeruhi.

Barcelona imeamua kumsajili Cillessen ili kuwa mbadala wa Claudio Bravo anayekaribia kujiunga na Manchester City kwa dau la £17m.

Cillessen alijiunga na Ajax mwaka 2011 akitokea NEC Nijmegen na kufanikiwa kuichezea michezo 141.

Taarifa kutoka Uholanzi zinasema Ajax itaziba pengo la Cillessen kwa kumsajili mlinda mlango wa Newcastle United,Tim Krul,kwa mkopo wa msimu mmoja.
 
Reactions: PNC
BARCELONA WAMEWASILI SALAMA BILBAO ili kuwakabili ifikapo saa 3:15 usiku huu
 
Huu uzi una page 479 lakini ukiangalia madrid wana page 1000+ kweli real madrid ya Cr7 chama kubwa....messi utangoja sana.
 
1 M. ter Stegen
3 Piqué
4 I. Rakitić
5 Busquets
6 Denis Suárez
7 A. Turan
9 L. Suárez
10 L. Messi
18 Jordi Alba
20 Sergi Roberto
23 S. Umtiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…