Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaojua na wasioongozwa na emotions washaamua tayari kubwa mchezaji bora wa ulaya ni CR7.Kuna mashabiki wa hovyo kweli yaani anaongozwa na emotions zake na kuukataa ukweli daah poor plastic funs. Visca el barca # gracious king messi.
Ume muona GOATNALDO!!?.hahahaha[emoji57] [emoji57] haiwez vuma kama KING KUBADIL NYWELE kila mtu anajua katengenezewa et tatu bora SUAREZ HAYUPO wala KING
Huyo Suarez hata kwa Griezman asingeweza kucompete naye..Tuzo ya Suarez kapewa Ronaldo
Huyo Suarez hata kwa Griezman asingeweza kucompete naye..
Sasa huyo Suarez kasaidia Barca tu kutwaa kikombe kimoja cha Laliga ndo aje kucompete na Ronaldo aliyetwaa vikombe viwili vikubwa kabisa ulaya..!!
Hii ilikiwa aihitaji hata microscope kuona bacteria.
Na tunawasubiria tena Ballon d'or tuone mkitokwa povu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wanaojua na wasioongozwa na emotions washaamua tayari kubwa mchezaji bora wa ulaya ni CR7.
Mimi na wewe ambao hata sheria 17 za mpira wa miguu hatuwezi kuzijataja na kuzielezea kwa ufasaha tutabisha bure tu.
Kapewe na wewe.Tuzo ya kupewa,
Kapewe na wewe.Tuzo ya kupewa,
njia ya heaven waendao wachache ila motoni ni kibaoHuu uzi una page 479 lakini ukiangalia madrid wana page 1000+ kweli real madrid ya Cr7 chama kubwa....messi utangoja sana.