Unbelievable
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 262
- 115
tuko pamoja mkuu Unbelievable [emoji120] [emoji120]PNC 1 nakukubali sana mkuu.
Tupo wengi tuu humu,na sio run of the mill type fans-Soccer tunalichambua analytical na in depth mara nyingi tunakuwepo wakati Barca is on the pitch entertaining the world[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ahsante kaka mkubwa
Sasa si nime fuatilia nimeona asilimia 80, ni wewe mwenyewe
Tungemrudisha Thiago Alcantara pale katikati pangenoga sana maana yule mtoto mpira anaujua sanaBila shaka Denis Suarez anauwezo wakuimili namba ya iniesta kwa kiasi flani na weza nika sema tumepata mrithi
Sawa sio kwa asilimia zote ila anahitaji mdaa🙂
Ana itendea haki ile namba!
Aaah
Man u wako wengi, kwenye grp lao nime waona wako vzuri
Ila hapa kwa kweli mambo yana ongozwa na wewe tuu peke yako
Tellem mie nigger[emoji40] [emoji40]Tupo wengi tuu humu,na sio run of the mill type fans-Soccer tunalichambua analytical na in depth mara nyingi tunakuwepo wakati Barca is on the pitch entertaining the world
Most supported club in the world fc BarcelonaBarce fanZ 2po wengi more than any teams dat,
Acha shekh wangu usiongee...yule dogo ana matusii ya uswahilin hafai nlijua balaa lake kweny game ya munich tulio fungwa tatu nou camp villa nova aka toa inest,mess na xav aka niingizia mtot alisumbua pale kat!Tungemrudisha Thiago Alcantara pale katikati pangenoga sana maana yule mtoto mpira anaujua sana
Bila shaka Denis Suarez anauwezo wakuimili namba ya iniesta kwa kiasi flani na weza nika sema tumepata mrithi
Sawa sio kwa asilimia zote ila anahitaji mdaa🙂
Ana itendea haki ile namba!
Most supported club in the world fc Barcelona
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Ooho, mbona klopp ali mfollow Twitter baada ya game kwishaKiongozi huyu kijana ckupataga bahati ya kushudia mechi alizocheza, that day wanacheza Villareal na Liverpool semifaino nilimcheck aise ni balaa, kwakweli 2mepata mrithi pare sio jokes
daaah mkuu hata mimi ningejua zinapouzwa kwa Tz ingekuwa safi saana sio kama yale mekundu ya man u utafikir shuka la mganga wa kienyejiHivi hizi bongo zapatikana wapi??
Tupo wengi tuu humu,na sio run of the mill type fans-Soccer tunalichambua analytical na in depth mara nyingi tunakuwepo wakati Barca is on the pitch entertaining the world
daaah mkuu hata mimi ningejua zinapouzwa kwa Tz ingekuwa safi saana sio kama yale mekundu ya man u utafikir shuka la mganga wa kienyeji
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huo ni ukweli mtupuPNC mbona unavunja watu mbavu teh teh teh teh,