FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mbona hata alikuwepo mlishinda goli la kubahatisha bahatisha tuu.
Halafu jana walicheza vizuri tu sema matokeo ndio yaligoma
We uliambiwa hilo goli la kubahatisha kivipi labda. Cha msingi ni point 3 siyo goli la kubahatisha. Na utueleze goli la kubahatisha likoje kwa mtazamo wako
 
  • Thanks
Reactions: PNC
We uliambiwa hilo goli la kubahatisha kivipi labda. Cha msingi ni point 3 siyo goli la kubahatisha. Na utueleze goli la kubahatisha likoje kwa mtazamo wako
Lile alilo funga Messi na Uruguay lina kila element ya kubahatisha hasa kama uliliona ndio magoli ya namna ile
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Lile alilo funga Messi na Uruguay lina kila element ya kubahatisha hasa kama uliliona ndio magoli ya namna ile
Kumbe Messi ndo kafunga na siyo mpira umeingia kwa bahati mbaya[emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
MESSI LEO MAZOEZINI
1473246730576.jpg
1473246736146.jpg
 
BARCELONA IMEFANIKIWA KUMSAJILI RONALDINHO GAUCHO kama BALOZI
1473256646677.jpg
1473256654887.jpg
1473256661295.jpg
 
sasa kama"Einstein" wa football yaani Messi.anabahatisha goal hawa makapuku waliobakia wa soccer tutasema wanafungaje???
Napendaga tu unavyojibu na kuchambua soka.[emoji122] [emoji122]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
sasa kama"Einstein" wa football yaani Messi.anabahatisha goal hawa makapuku waliobakia wa soccer tutasema wanafungaje???
Labda lile goli la juzi hukulicheki, amini kuwa Messi alibahatisha.

Halafu jana hata angekuwepo kwa ile mechi ilivo kuwa msinge chomoa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom