Haina tabu jombaakaribu mkuu hapa tunapenda wageni[emoji1] [emoji1]
Uongoni kweli mkuu alipokuwepo Messi tuliwapiga 4 sasa hayupo tumechomoa kwa mbinde 2:2
We uliambiwa hilo goli la kubahatisha kivipi labda. Cha msingi ni point 3 siyo goli la kubahatisha. Na utueleze goli la kubahatisha likoje kwa mtazamo wakoMbona hata alikuwepo mlishinda goli la kubahatisha bahatisha tuu.
Halafu jana walicheza vizuri tu sema matokeo ndio yaligoma
Lile alilo funga Messi na Uruguay lina kila element ya kubahatisha hasa kama uliliona ndio magoli ya namna ileWe uliambiwa hilo goli la kubahatisha kivipi labda. Cha msingi ni point 3 siyo goli la kubahatisha. Na utueleze goli la kubahatisha likoje kwa mtazamo wako
Huwa siongopagi mkuuUongo
Game ya jana mlicheza vizuri tuu, na kama lile goli la kwanza hata mnge fanyaje ilikuwa lazma mfungwe. Sikuona Messi ange saidia vipi paleHuwa siongopagi mkuu
Kumbe Messi ndo kafunga na siyo mpira umeingia kwa bahati mbaya[emoji1] [emoji1]Lile alilo funga Messi na Uruguay lina kila element ya kubahatisha hasa kama uliliona ndio magoli ya namna ile
Nimeshakuelewa. Kumbe wewe ni Barafu kweliLile alilo funga Messi na Uruguay lina kila element ya kubahatisha hasa kama uliliona ndio magoli ya namna ile
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeshakuelewa. Kumbe wewe ni Barafu kweli
sasa kama"Einstein" wa football yaani Messi.anabahatisha goal hawa makapuku waliobakia wa soccer tutasema wanafungaje???Lile alilo funga Messi na Uruguay lina kila element ya kubahatisha hasa kama uliliona ndio magoli ya namna ile
Napendaga tu unavyojibu na kuchambua soka.[emoji122] [emoji122]sasa kama"Einstein" wa football yaani Messi.anabahatisha goal hawa makapuku waliobakia wa soccer tutasema wanafungaje???
Labda lile goli la juzi hukulicheki, amini kuwa Messi alibahatisha.sasa kama"Einstein" wa football yaani Messi.anabahatisha goal hawa makapuku waliobakia wa soccer tutasema wanafungaje???
HahahaNapendaga tu unavyojibu na kuchambua soka.[emoji122] [emoji122]
Sijasoma post zake sehemu moja. Hata sehemu ambazo hatuko pamoja post zake huwa zimesimama.Hahaha
Sema unapenda anavo sema unacho taka kusikia.
Kwa hapo hata mimi namsifu
Basi sawaSijasoma post zake sehemu moja. Hata sehemu ambazo hatuko pamoja post zake huwa zimesimama.
UNA LA ZIADA [emoji1]Basi sawa
Nami nampongeza
[emoji3]UNA LA ZIADA [emoji1]