Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Bora niliye fungwa na Guardiola
Poleni watani
Aise dogo nilikua nakupimia.kumbe ni yuleyule unae2sumbuaga kila siku,umeamua kubadili ID eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Bora niliye fungwa na Guardiola
Poleni watani
Jasiri haachi asiliHuyu si ndie Szczesny @ PNC? Naona kaamua kuchange ID😛😛
mkuu inauma aisee japo tutazirejesha na el clasicoPNC vipi tena😛😛,tuwe na uvumilivu tu bro
hii itasabanisha celtic afe kifo kibaya hyo jumanne
mkuu inauma aisee japo tutazirejesha na el clasico
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mdomo huponza kichwa, kelele zako hazijabadilika.
Sijabadili Id nimekuja bwana PnC1 aka anzisha huo uzushiAise dogo nilikua nakupimia.kumbe ni yuleyule unae2sumbuaga kila siku,umeamua kubadili ID eti
Kime wapata nini!!?Huyu si ndie Szczesny @ PNC? Naona kaamua kuchange ID😛😛
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Barca bado hajaanza league,jikokoteni wakati simba akiwa kalala punde akiamka itakuwa hatari-hii mechi tulikuwa tuna experiment mambo Fulani-yakishatengemaa Barca tunategemea ata revolutionise SOCCER to level never before seen on mother earth
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] et uzushi[emoji23] [emoji23]Sijabadili Id nimekuja bwana PnC1 aka anzisha huo uzushi
Sasa ntamzuiaje kuzusha!!
huyu alikuwa anatema sana pumba na alikuwa man u pia alikuwa ni ant-barca na mara zote ni muuzuriaj post za thread hii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inaonekana huyo bwana alikuwa ana wakoroga kweli
Na mimi sita waacha haki
Umenisikitisha.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] et uzushi[emoji23] [emoji23]
huyu alikuwa anatema sana pumba na alikuwa man u pia alikuwa ni ant-barca na mara zote ni muuzuriaj post za thread hii
NAWE UKO HVOHVO ila utofaut wa style yako ni kuwa hutak kwenda makapuku Forum [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila tumekujua na nilishakwambia Barcelona ni MAGREAT THINKER WA UKWELI sio sawa na majukwaa uchwara [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na la ziada ww ni mwepes wa kupanic utasikia TUHESHIMIANE MKUU[emoji23] [emoji23] nami nakujibug MCHEZO HUU HAUHITAJ HASIRA ila wacatalunya tunapenda uwepo wako[emoji1] [emoji1] sczensny
uzuri wake hana matusi. ila kwa pumba laini na ligi zisizoisha hafai. kama ulivyosema, ni mtu muhimu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] et uzushi[emoji23] [emoji23]
huyu alikuwa anatema sana pumba na alikuwa man u pia alikuwa ni ant-barca na mara zote ni muuzuriaj post za thread hii
NAWE UKO HVOHVO ila utofaut wa style yako ni kuwa hutak kwenda makapuku Forum [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila tumekujua na nilishakwambia Barcelona ni MAGREAT THINKER WA UKWELI sio sawa na majukwaa uchwara [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na la ziada ww ni mwepes wa kupanic utasikia TUHESHIMIANE MKUU[emoji23] [emoji23] nami nakujibug MCHEZO HUU HAUHITAJ HASIRA ila wacatalunya tunapenda uwepo wako[emoji1] [emoji1] sczensny
ni kweli mkuu hata mimi namkubal [emoji1] [emoji1] [emoji1]uzuri wake hana matusi. ila kwa pumba laini na ligi zisizoisha hafai. kama ulivyosema, ni mtu muhimu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] MCHEZO HUU HAUHITAJI HASIRA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss ndio Barcelona tumekubana kwa hoja ila ucpanic KWANI HII NI MOJAWAPO YA KUKUPUNGUZA MAKAL Iceman 3DUmenisikitisha.
Nilijua hii ni thread ya wana michezo tutabishana tu enjoy michezo thats why nikaja, then now naona mnacho fanya saa hizi ni kujifanya mna nijua na mme wahi kuniona. So what!!?
Grow up PNC 1 acha utoto, kama unataka fungua uzi wa kuni diacuss mimi na Id yangu, sikuja hapa kuku diacuss wewe.
Hata sina shida hapa mi nishafika na ntakuwepo.
Maneno yako mengine yoote nayapuuza kwa kuwa kwangu mimi si kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa Pogbaaa 0 goal 0 assistSi vizuri kusahau kuwapa pole kuwa jana mlifungwa
Nategemea mtakuwa wana michezo zaid kuliko kuzusha mambo
Sifa moja ya mwana michezo ni kuto panic, Hata sijapanic ila nimeona hamni tendei haki, kwa mnacho kifanya[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] MCHEZO HUU HAUHITAJI HASIRA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss ndio Barcelona tumekubana kwa hoja ila ucpanic KWANI HII NI MOJAWAPO YA KUKUPUNGUZA MAKAL Iceman 3D