FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

BREAKING NEWS: Reports came in that Marcos Llorente still have Busquets and Rakitic in his pocket

 
Barca bado hajaanza league,jikokoteni wakati simba akiwa kalala punde akiamka itakuwa hatari-hii mechi tulikuwa tuna experiment mambo Fulani-yakishatengemaa Barca tunategemea ata revolutionise SOCCER to level never before seen on mother earth
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Poleni
 
Reactions: PNC
Sijabadili Id nimekuja bwana PnC1 aka anzisha huo uzushi

Sasa ntamzuiaje kuzusha!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] et uzushi[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inaonekana huyo bwana alikuwa ana wakoroga kweli
Na mimi sita waacha haki
huyu alikuwa anatema sana pumba na alikuwa man u pia alikuwa ni ant-barca na mara zote ni muuzuriaj post za thread hii
NAWE UKO HVOHVO ila utofaut wa style yako ni kuwa hutak kwenda makapuku Forum [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila tumekujua na nilishakwambia Barcelona ni MAGREAT THINKER WA UKWELI sio sawa na majukwaa uchwara [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na la ziada ww ni mwepes wa kupanic utasikia TUHESHIMIANE MKUU[emoji23] [emoji23] nami nakujibug MCHEZO HUU HAUHITAJ HASIRA ila wacatalunya tunapenda uwepo wako[emoji1] [emoji1] sczensny
 
Umenisikitisha.
Nilijua hii ni thread ya wana michezo tutabishana tu enjoy michezo thats why nikaja, then now naona mnacho fanya saa hizi ni kujifanya mna nijua na mme wahi kuniona. So what!!?

Grow up PNC 1 acha utoto, kama unataka fungua uzi wa kuni diacuss mimi na Id yangu, sikuja hapa kuku diacuss wewe.
Hata sina shida hapa mi nishafika na ntakuwepo.
Maneno yako mengine yoote nayapuuza kwa kuwa kwangu mimi si kweli
 
Reactions: PNC
uzuri wake hana matusi. ila kwa pumba laini na ligi zisizoisha hafai. kama ulivyosema, ni mtu muhimu.
 
Reactions: PNC
Si vizuri kusahau kuwapa pole kuwa jana mlifungwa
Nategemea mtakuwa wana michezo zaid kuliko kuzusha mambo
 
Reactions: PNC
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] MCHEZO HUU HAUHITAJI HASIRA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss ndio Barcelona tumekubana kwa hoja ila ucpanic KWANI HII NI MOJAWAPO YA KUKUPUNGUZA MAKAL Iceman 3D
 
Si vizuri kusahau kuwapa pole kuwa jana mlifungwa
Nategemea mtakuwa wana michezo zaid kuliko kuzusha mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa Pogbaaa 0 goal 0 assist
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] MCHEZO HUU HAUHITAJI HASIRA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss ndio Barcelona tumekubana kwa hoja ila ucpanic KWANI HII NI MOJAWAPO YA KUKUPUNGUZA MAKAL Iceman 3D
Sifa moja ya mwana michezo ni kuto panic, Hata sijapanic ila nimeona hamni tendei haki, kwa mnacho kifanya
I hope tuta kuwa tunajadili mpira zaidi kuliko kujadili Id yangu.
PNC 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…