[emoji122] [emoji120] TUKO PAMOJA MKUU kwani hata ukipanic maadam kwenye avatar yako unacheka basi hakuna tatzo[emoji1]Sifa moja ya mwana michezo ni kuto panic, Hata sijapanic ila nimeona hamni tendei haki, kwa mnacho kifanya
I hope tuta kuwa tunajadili mpira zaidi kuliko kujadili Id yangu.
PNC 1
[emoji23][emoji122] [emoji120] TUKO PAMOJA MKUU kwani hata ukipanic maadam kwenye avatar yako unacheka basi hakuna tatzo[emoji1]
Iceman 3D ,kwa jinsi nilivyoona game la Pogbaa na ibra kwenye lile game-naona mtakutwa sanaaaaaa!!!!!!!!! Mourinho kabaki jina,either a park bus na kuwa bore nyie fans au afungwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa Pogbaaa 0 goal 0 assist
Come rain,thunder,earthquake or whatever we are Barca for lifeWe win together, we lose together because we are cules forever.[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG].
Sijabadili Id nimekuja bwana PnC1 aka anzisha huo uzushi
Sasa ntamzuiaje kuzusha!!
Umenisikitisha.
Nilijua hii ni thread ya wana michezo tutabishana tu enjoy michezo thats why nikaja, then now naona mnacho fanya saa hizi ni kujifanya mna nijua na mme wahi kuniona. So what!!?
Grow up PNC 1 acha utoto, kama unataka fungua uzi wa kuni diacuss mimi na Id yangu, sikuja hapa kuku diacuss wewe.
Hata sina shida hapa mi nishafika na ntakuwepo.
Maneno yako mengine yoote nayapuuza kwa kuwa kwangu mimi si kweli
Kime wapata nini!!?
Mbona mna changanyikiwa jamani!!?
tunaua mtu leo.3 Piqué
4 I. Rakitić
5 Busquets
9 L. Suárez
10 L. Messi
11 Neymar
18 Jordi Alba
20 Sergi Roberto
21 André Gomes
23 S. Umtiti
King hataki utaniBARCELONA 1 KING MESSSSSSSSSSIIIII