Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vile vijamaa nasikia viliwapiga bakora! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
FC Barcelona vs Manchester United.
Ligi hizo mbili sasa zishaisha. Hii ni battle ya mabingwa wa ligi mbili bora zaidi duniani, Ligi ya UK ambayo wadau wengi wapenda soka tunaamini ni ligi bora zaidi kwa sasa na Ligi ya Spain ambayo wadau wengi pia tunaamini ni ligi ya pili kwa ubora duniani. Hadi sasa hakuna majeruhi ambao ni key players kwa pande mbili ambao wameripotiwa, Darren Fletcher alicheza jana hii ikiwa ni ishara kuwa amekuwa fit. Cares Puyol hajacheza mechi kadhaa za mwishoni mwa msimu, sina hakika sana kama atakuwa fit kucheza hilo game. Otherwise watokee katika mazoezi ya kujiandaa na huo mpambano. Tunategemea timu zote zitakuwa na full squads.
Manchester United
Nguzo kuu ya wao kuweza kushinda hilo game pamoja na udhoefu mkubwa wa Sir AF, itakuwa ni namna watakavyoweza kuabsorb mashambulizi ya Barca, ninaamini Sir AF atajaza zaidi viungo wenye uwezo mkubwa wa kukaba, na huku akitegemea uwezo mkubwa wa Vidic kwenye kumaliza mashambulizi. Mbele kama kawaida ataanza na Rooney kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya kushtukiza, '' counter attack'', huku akisaidiwa na mkongwe Ryan Giggs. Sina hakika sana kama ataanza na Chicharito, naamini ataanza kwa kutumia zaidi viungo kwa ajili ya kuabsorb pressure ya viungo wa Barca, nategemea ataanza na double holding midfielders ya Darren Fletcher na Michael Carrick, hii ikiwa na maana ya kuzuia njia za mashambulizi ya Barca ambayo mengi yanapikwa kuanzia katikati, huku akimtumia Chicharito kama Sub kutegemea na mchezo utaenda vp.
Kwa ujumla Manchester haijawa bora sana msimu huu, imekuwa ikiimarika jinsi msimu ulivyokuwa unaendelea, unaweza kuhakikisha hili kwa idadi ya point ambazo zimeipa ubingwa ni pts 80. Hizi ni pointi chache zaidi kwa timu kuchukulia ubingwa kwa misimu 10 ya ligi ya UK tangu msimu wa 2000/2001 ambapo bingwa pia alikuwa na pts 80. Japokuwa hii inaweza kuwa ilichangiwa na wachezaji kuwa majeruhi, lakini pia perfomance wa Man U kwenye away games za premier league msimu huu imekuwa ni si nzuri, wameshinda mechi 5 tu kati ya 23 walizoshinda msimu mzima. Ila kwenye UCL Man U wamekuwa na perfomance nzuri sana kwenye away games wakiwa na clean sheet katika mechi 6 za msimu huu ambazo ni vs Valencia, Rangers, Bursaspor,Marseille, Chelsea na Shakle 04.
FC BARCELONA
Kikosi cha Johan Cruyff miaka ya 1992, ndio ilisadikika ni kikosi bora zaidi katika historia ya Barca, hiki kikosi kinaitwa ''the dream team'', enzi hizo Pep akiwa kama mchezaji, ila wachambuzi wa mambo ya kimpira tunaamini hiki kikosi cha Pep ni bora zaidi kuliko the dream team. Endapo Barca itatwaa kombe tarehe 28, basi wataalamu wa soka tunaamini hiki kikosi cha Barca kitakuwa ni kikosi bora zaidi kuwahi tokea katika historia ya kandanda, kikiizidi AC Milan ya 1989/90 na pia Brazil ya mwaka 1970.
Mpira wa Barca unajulikana, ni wa pasi fupifupi, kupossess mpira na kushambulia kwa nguvu (falsafa ya Pep, 1. keep the ball 2. Attack seriously). Hawana formation tofauti, sana sana kubadilika kwao ni namna Messi anavyoanzisha mashambulizi (anaweza shambulia tokea kushoto, kulia au akacheza deep km kiungo wakati huku akiwa kama virtual centre forward au akacheza kama namba 10). Mechi itakuwa ngumu sana maana Sir Alex Ferguson ni kocha bora zaidi wa kubadilika na kuusoma mchezo wa timu pinzani. Kazi kubwa zaidi ya Manchester itakuwa ni namna ya kumdhibiti huyu kiumbe hatari sana, Lionel Messi. Nasema ni kazi kubwa ya kumdhibiti huyu kiumbe maana anauwezo mkubwa sana wa kushambulia tokea kona yoyote ya uwanja, na namna anavyoweza kupossess mpira ni rahisi sana kufanyiwa faulo zenye kuweza kuzaa kadi. Ni lazima awe marked kwa ukaribu sana na wachezaji kadhaa wa Man U. Stream kubwa ya magoli ya Barca inazalishwa na hiki kiwanda Lionel Messi, huku ikifanyiwa processing na play maker bora zaidi kwa sasa Xavi Hernandez akisaidiana na Andres Iniesta. Hawa watu watatu wanaform Trio kali zaidi kwa sasa duniani. Hii Trio binafsi inanikumbusha Trio nyingine kali sana ya Frank Rijkaard, Ruud Gullit na Marco Van Basten (Holland and AC Milan)
Sitegemei kabisa Manchester kumiliki eneo la katikati, hapa watakuwa na wakati mgumu sana wa kuusaka mpira. Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Sergio Busquet, Daniel Alves na Pedro Rodriguez watawapa kazi sana viungo wa Man U.
Tathmini yangu
Kimpira, Barcelona watakuwa nyumbani, maana wao ndio wataikaribisha Man U, hivyo watakuwa na jezi zao za ushindi huku Man U wakiwa na jezi za away. Kigeographia, Manchester wapo ardhi ya nyumbani Wembley, wameuzoea uwanja zaidi ya Barca, hii ni advantage kubwa sana kwa Man U.
Nani Bingwa ?
1. Victor Valdes.
2. Daniel Alves.
3. Eric Abidal.
4. Gerald Pique.
5. Cares Puyol.
6. Sergio Busquet.
7. Andres Iniesta.
8. Xavi Hernandez.
9. David Villa.
10. Lionel Messi.
11. Pedro Rodriguez.
Tegemea hiki kikosi kuwa mabingwa.
Wacha1 umekuja kufanya nini huko ?.Hili ni jukwaa la mabingwa wanabadilishana mawazo wewe unatakiwa usajili wachezaji proven si vitoto.

True barca fans mko wapi? Jumamosi inapproach let us pray for our team god bless barca pamoja sana.
pamoja sana mkuu viva barca.tuende wapi mkuu?pamoja sana tu
mechi tunaisubiri kwa hamu kubwa muamuzi dk 90 ikishindikana 120
ikiwa vp tutazzz hatubadnuki walahi...