BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Basi mwalimu wako alikuwa ni shiiidaAise Namfananisha na mwalimu wangu,sijui ndie yeye...kwakweli duniani tuko wawili wawili...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Basi mwalimu wako alikuwa ni shiiida
Kwa Neymar kuna tatizo kubwa na kama tungepata mbadala wake yule dg alitakiwa kupigwa bei coz anapenda chenga zisizo na tija game ya atletico madrid mm ndipo nilipoanza kumchukia
Subiri tucheki mechi ijayo tuone celtadevigo wazuri Neymar anacheza na jukwaa la mashabiki na sio tim kupata matokeo halafu nasikia king Mess anaweza kwenda Cjui ni za kweli au laaa na kama ataondoka daaaah patakuwa na kazi sana
Ni habari ambayo imekuwa ikisikika sana na mimi kweli ningeoenda yule dogo aje pale Nou Camp. Yuko vizuri sana na anaendana na style ya uchezaji wetu ila siyo kusema replacement ya Messi maana Messi ni level nyingine.Hii newZ mnaichukulia vipi ndugu zangu? Je kuna ukweli wowote?
PNC,RED GIANT,ALLEYN,JACKLINE,MONASHA N.K
Ni habari ambayo imekuwa ikisikika sana na mimi kweli ningeoenda yule dogo aje pale Nou Camp. Yuko vizuri sana na anaendana na style ya uchezaji wetu ila siyo kusema replacement ya Messi maana Messi ni level nyingine.
ni habar ya kawaida kwani hata kama wewe ungekuwa ni MESSI huwez ondoka kwenye club kama BarcelonaHii newZ mnaichukulia vipi ndugu zangu? Je kuna ukweli wowote?
PNC,RED GIANT,ALLEYN,JACKLINE,MONASHA N.K
😀we fikiria tu aondoke club kubwa kama Barcelonistas aende club ipi kubwa zaidi ya hiyo? Ni kitu ambacho hata ukikifikiria hakiingii akilini...ni habar ya kawaida kwani hata kama wewe ungekuwa ni MESSI huwez ondoka kwenye club kama Barcelona
na la kufurahisha Club kubwa duniani ni Barcelona hizo nyingine ni ubabaishaji tu😀we fikiria tu aondoke club kubwa kama Barcelonistas aende club ipi kubwa zaidi ya hiyo? Ni kitu ambacho hata ukikifikiria hakiingii akilini...
Messi huyu au mwingine-wapi tena kwenye hii planet kuna Tiki taka inayoweza kum accommodate Messi?? labda hao City wampe 50% ownership.Bravo anawachanganya backs wa city kwa distribution yake ya mpira-hawajui kwamba Rome was not built in one dayEspecially umeongea point....King ni level ingine na hana mpinzani hadi sasa...huyo dogo ni kweli hata mimi nimemcheck ni mzuri sana.
na la kufurahisha Club kubwa duniani ni Barcelona hizo nyingine ni ubabaishaji tu
UKO SAHIHI MKUUUmenena mkuu... ni fedheha kubwa mno kwa professor huyu kujiunga na timu nyingine zaidi ya hapa hapa kwenye big club in the world "Blaugrana" zilizobakia ni takataka
Messi ni Professor wa mpira duniani..no doubt
Messi huyu au mwingine-wapi tena kwenye hii planet kuna Tiki taka inayoweza kum accommodate Messi?? labda hao City wampe 50% ownership.Bravo anawachanganya backs wa city kwa distribution yake ya mpira-hawajui kwamba Rome was not built in one day