FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tumeshinda bila sparkling display which is unusual for Barca-all in all hizi team zinazochezesha 10 players behind the ball mpaka zichoke ndio u unlock key. Anyway it seems Man City is way down-could not beat Celtic of all teams-inaonekana some teams have been overated
Bravo kasema haiogopi MSN-observers wanadai he is gonna eat his words
 
FULL TIME

BARCELONA IMEONDOKA NA USHINDI MNONO WA GOLI 2 KWA 1
MAGOLI YA BARCELONA YAMEFUNGWA NA ARDA TURAN PAMOJA.NA PIQUE

VIVA BARCELONA NA MESSI UPONE HARAKA
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuumia kwa KING ni pengo kwa Suarez
Suarez was just unlucky on any other day angekuwa na goal mbili. Coach inabidi atafute solution ya hizi team zinazokaa nyuma ya mpira-hawa jamaa wamecheza 4-3-2-1,katikati wamejaza bodies hii ina affect sana smooth flow ya soccer la Barca
 
jumapili saa nne kasorobo tutacheza na Celta Vigo kwao. msimu huu wameanza ovyo japo wameshinda mechi mbili za mwisho.
 
1475098204494.jpg
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuumia kwa KING ni pengo kwa Suarez

😀😀😀 haswaa ni pengo kubwa mno...maana SuareZ hapati pasi za kutosha. Mara nyingi anamtegemea King....Neimar ni mbinafsi sana hatoi pasi kwa mwenzie sijui kwanini tu....
 
  • Thanks
Reactions: PNC
😀😀😀 haswaa ni pengo kubwa mno...maana SuareZ hapati pasi za kutosha. Mara nyingi anamtegemea King....Neimar ni mbinafsi sana hatoi pasi kwa mwenzie sijui kwanini tu....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] MESSI YUKO BUSY NA KUIFANYA TIMU ISHINDE HUKU AKIWAFANYA WALIOKARIBU YAKE WANG'ARE
ILA NEYMAR YUPO BUSY NA JUKWAA NDIO MANA MIPIRA MINGI INAPOTELEA KWAKE
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] MESSI YUKO BUSY NA KUIFANYA TIMU ISHINDE HUKU AKIWAFANYA WALIOKARIBU YAKE WANG'ARE
ILA NEYMAR YUPO BUSY NA JUKWAA NDIO MANA MIPIRA MINGI INAPOTELEA KWAKE

Huyu dogo yani ananiudhi sana,na sometimes matokeo yanakua mabaya kwa sababu yake....mpira mwingi unapotelea kwake,anakaa na mpira muda mrefu sana huku wenzie wamesimama wanasubiri pasi, na analazimisha chenga huku anawacheck washabiki kama wanamtazama....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nicheke tu
 
Back
Top Bottom