BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mchezo haufurahishi kabsaa...anyway tunashkuru kwa ushindi huo....ahsanteni Pique &Turan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anafanya kusudi, sijui anataka kuprove nini? anajua akiwa na mpira lazima waje wawili au watatu lakini ana lazimisha chenga. kutoa pasi kama aliyompa Turan? huyu dogo anaudhi sana sometimes.Leo neymar hayupo kwenye mood
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuumia kwa KING ni pengo kwa SuarezPique ndie mbadala wa King Messi😀😀
Nafikir BARCELONA wawe wanamuweka japo MESSI benchi ili mrad uwepo wake uwanjani uwe burudaniMchezo haufurahishi kabsaa...anyway tunashkuru kwa ushindi huo....ahsanteni Pique &Turan
Suarez was just unlucky on any other day angekuwa na goal mbili. Coach inabidi atafute solution ya hizi team zinazokaa nyuma ya mpira-hawa jamaa wamecheza 4-3-2-1,katikati wamejaza bodies hii ina affect sana smooth flow ya soccer la Barca[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuumia kwa KING ni pengo kwa Suarez
very mediocre. japo wapinzani nao wamechangia kuhar kwa kucheza ant-fotball. mwisho wasiku tulikuwa tunacheza mpira kwenye half yetu. ndiyo maana walioongoza kwa pasi ni Pique, Mascherano na Busketi.Mchezo haufurahishi kabsaa...anyway tunashkuru kwa ushindi huo....ahsanteni Pique &Turan
very mediocre. japo wapinzani nao wamechangia kuhar kwa kucheza ant-fotball. mwisho wasiku tulikuwa tunacheza mpira kwenye half yetu. ndiyo maana walioongoza kwa pasi ni Pique, Mascherano na Busketi.
very mediocre. japo wapinzani nao wamechangia kuhar kwa kucheza ant-fotball. mwisho wasiku tulikuwa tunacheza mpira kwenye half yetu. ndiyo maana walioongoza kwa pasi ni Pique, Mascherano na Busketi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuumia kwa KING ni pengo kwa Suarez
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] MESSI YUKO BUSY NA KUIFANYA TIMU ISHINDE HUKU AKIWAFANYA WALIOKARIBU YAKE WANG'ARE😀😀😀 haswaa ni pengo kubwa mno...maana SuareZ hapati pasi za kutosha. Mara nyingi anamtegemea King....Neimar ni mbinafsi sana hatoi pasi kwa mwenzie sijui kwanini tu....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] MESSI YUKO BUSY NA KUIFANYA TIMU ISHINDE HUKU AKIWAFANYA WALIOKARIBU YAKE WANG'ARE
ILA NEYMAR YUPO BUSY NA JUKWAA NDIO MANA MIPIRA MINGI INAPOTELEA KWAKE
Leo neymar hayupo kwenye mood
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nicheke tuHuyu dogo yani ananiudhi sana,na sometimes matokeo yanakua mabaya kwa sababu yake....mpira mwingi unapotelea kwake,anakaa na mpira muda mrefu sana huku wenzie wamesimama wanasubiri pasi, na analazimisha chenga huku anawacheck washabiki kama wanamtazama....