FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Game ya Jana haikufaa kumuanzisha matheu badala ya masche kwa timu kama celta that man matheu sijawahi muamini from day one

Pique was on fire, he is hell of a warrior, still mathew own goal and ter stergen gift goal became difference, i will choose Javier mascherano everyday over mathew, self destruction play, if i take out the 2 gifted goals then its a 2-3 win for......Barcelonistas




G96 matheu hafai tumeona many times anaharibu, ni bora auzwe...kutokuwepo King ni shida kubwa kwa SuareZ,na pia game inapoteza mwelekeo,... in-short King ndie anaibeba timu kiujumla,anajua anachokifanya na kuwaweka sawa teamates, .....lkn mwisho wa yote tusiumie sana Barca itarudi tu kwenye level yake ya kawaida and we will see the piece in front of the city the team always makes mistakes...... But the return of King Messi will correct the mistakes,
 
That's high the stakes are at Barca.
We lose one game and all this panic. The media portrays its the end of Barca's dominance.

Meanwhile there's a club that has played 4 continuous draws and no one gives a flying https://jamii.app/JFUserGuide in the media.

Not saying that club paid the media or something, just telling that's the standard Barca has set for themselves.

Only club in the world where winning league and cup is considered nothing.
Only club where not winning a treble every season is considered a failure.

That's the level of Barca.
Nothing but proud [emoji173]

***Nimeikuta sehemu hii kitu nikaipenda***
 
Huyu matheu kwa nini kocha anamng'ang'ania sana??? Na huyu stegan baada ya blavo kuondoka ndio anazidi kua kua mzembe daaah
 
What are you doing enrik?nimechoka sana na experiments zake huyu kocha.ni fedheha na aibu kufungwa goli 4! Anawatakia nini Rafinha na matheu Wakat kuna iniesta,rakitic,bosquets and masherano.
 
Wakuu kwema? Hv mnalionaje swala la pique kutaka urais wa barca baada ya kustaafu.
 
Reactions: PNC
Wakuu kwema? Hv mnalionaje swala la pique kutaka urais wa barca baada ya kustaafu.
binafs sina tatzo kama anatambua rais wa club kama Barca anatakiwa awe vp ila nahisi huenda anatania
 
Hafai hata kuuzwa. Aachiwe tu huru
 



MESSI MBIONI KUREJEA KUNDINI[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
TUFURAHI KIDOGO



*Jimmy*: Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.

Kademu: Lol,samahani Nina boyfriend wangu.

*Jimmy* : Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.

Kademu : Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.

*Jimmy* : Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.

Kademu : Vyovyote,Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.

*Jimmy* : Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.

Kademu : Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.

*Jimmy*: ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.

Kademu: Hujawahi Kukata tamaa wewe?

*Jimmy*: Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.

Kademu : Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.

*Jimmy*: Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.

Kademu : Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi [emoji35]

*Jimmy* : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.

Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
*Jimmy*: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]
 
[emoji460][emoji460]

Neymar Jr 24 age = 300 goals
Messi 25 age = 300 goals
Ronaldo 27 age = 300 goals

Go on Neymar .. Upcoming best player of the world [emoji122][emoji122][emoji120]
 
Hahaaa umetisha kijana
 
Reactions: PNC
*king of ballon d'or genius Messi athibitisha hatastaafia soka lake camp nou*



Loe Messi anataka kipengele cha kumruhusu kuihama Barcelona kwenye mkataba wake mpya.
Hata hivyo mshindi huyo mara tano wa Ballon d’Or hatarajii kuihama Barcelona hivi karibuni, anataka kuhakikisha atamalizia maisha yake ya soka nyumbani kwao Argentina (muda utakapowadia) bila kuzuiwa na Barcelona.
Ku-renew mkaba wa raia huyo wa Argentina ni moja ya vipaumbele vya Barcelona kwa wakati huu.
Hata hivyo, safari hii Messi kuomba kipengele kitakachomruhusu kuondoka ‘release clause’ ni kitu kipya ambacho hakuwahi kukiomba kwenye mikataba yake iliyopita
Kwa mujibu wa Diario Gol kupitia (AS) Messi ameiomba Barcelona kuahidi kumruhusu kuondoka ili kujiunga na Newell’s Old Boys kuelekea mwishoni mwa soka lake.
Hiyo inamaanisha kwamba, star huyo hana mpango wa kuikacha Barcelona siku za hivi karibuni lakini inaonesha anataka kuondoka baadae wakati anaelekea kustaafu.
Messi anaonesha kwamba, bado ana miaka kadhaa kucheza soka la ushindani lakini ni dhahiri anahitaji kusalia Camp Nou katika kipindi hicho.
Hata hivyo, Messi anapenda kustaafia soka kwenye klabu yake ya utotoni Newell’s Old Boys ya Argentina.
Kwa maana hiyo, Messi anahitaji release clause ili kuwa na uhakika wa kuachana na Barcelona siku zake zitakapofika mwisho Camp Nou.
 
BEKI wa kati wa Barcelona,Gerard Pique,amefichua kuwa atajiuzulu kuichezea timu ya taifa ya Hispania mara baada ya fainali zijazo za kombe la dunia la mwaka 2018 litakalofanyika katika ardhi ya Urusi kwa kile anachoamini kuwa kuna baadhi ya watu hawataki kumuona akikitumikia kikosi hicho.
Pique,29,ametoa kauli hiyo leo baada ya jana Jumapili vyombo vya habari na mashabiki wa Hispania kumshutumu vikali kuwa aliondoa kwa makusudi rangi ya bendera ya nchini hiyo pale alipokata mikono jezi yake yenye mikono mirefu na kuwa mifupi katika mchezo wa kundi G wa kusaka tiketi ya kuwania kufuzu kombe la dunia dhidi ya Albania ulioisha kwa kikosi chake kushinda kwa mabao 2-0.
Akitoa utetezi wake kabla ya kutoa kauli ya kutaka kujiuzulu,Pique,ambaye amekuwa mstali wa mbele kuunga mkono harakati za jimbo lake la Catalunya kutaka kujiondoa katika nchi ya Hispania amesema alikata mikono ya jezi hiyo kwa kuwa haikumfanya awe huru zaidi uwanjani na si kweli kuwa hataki kuvaa jezi yenye rangi ya bendera ya Hispania.


Huwa ninajitolea kwa kila kitu ninapokuwa uwanjani,lakini kuna watu wanafikiri kuwa ni bora nisiwepo kikosini.Amesema Pique.


Baada ya fainali zijazo za kombe la dunia la mwaka 2018 za nchini Urusi nitajiweka kando na timu hii.
Gerrard Pique aliikata mikono jezi yake ya mikono mirefu ili acheze akiwa comfortable kitendo ambacho huwa kinafanywa na wachezaji wa timu mbalimbali, jezi aliyovaa Pique ilikuwa ya mikono mirefu kama ilivyokuwa kwa Sergio Ramos na michirizi ya rangi za bendera ya Hispania huwa ipo katika jezi za mikono mifupi pekee”
 
Ronaldinho: Messi should win
Ballon d’Or - but Maradona &
Pele are still the best

The two stars played together at Camp Nou for
several seasons before R10 left for Milan, and
he believes that his former team-mate deserves
another crown in 2016
Brazilian football legend Ronaldinho has tipped
Lionel Messi to win the 2016 Ballon d'Or, but he
is not yet convinced he has earned the title of
the best of all time.
The 2002 World Cup winner played alongside
Messi during his first seasons at Barcelona,
before moving on to Milan.
Suarez equals qualifying record
And while Cristiano Ronaldo appears to be
favourite to lift the prestigious award,
Ronaldinho is backing the Argentine.
"All the players have done a brilliant job, it is
tough to choose," he told AS.
"Ok, I will be honest with you, I am backing
Messi!
"I am delighted to see him happy, if he made
the decision to come back to Argentina and he
is happy so am I, because I am his friend."
When it comes to his historical favourites,
however, Ronaldinho cannot see further than
two greats from Brazil and Argentina.
"In the history of football I only look at
Maradona and Pele. Both are world football
greats," he said.
The former Selecao star went on to heap praise
on Neymar, whom he also described as his
"friend."
"He is my friend, and he is making history in the
same club as I did and one day he will be the
best player in the world," he affirmed.
"Seeing him, Messi and Iniesta achieve what
they are brings me great joy."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…