Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game ya Jana haikufaa kumuanzisha matheu badala ya masche kwa timu kama celta that man matheu sijawahi muamini from day one
Duuh Jana matheu kazingua. Sijui kwa nn Enrique analipenda hili boya yani ni lakuuziwa ligi Daraja la 3 huko. Alafu pia atafute solution pale Busi anapodrop form maana tutaumia sana. Kutokuepo kwa messi ni shida kubwa tu kwa Luis Suarez. But pique to me is our hero.
Mhhh basi tu. messi tumekumis baba
Huyu matheu kwa nini kocha anamng'ang'ania sana??? Na huyu stegan baada ya blavo kuondoka ndio anazidi kua kua mzembe daaah
DALMINE umesema ukweli m2pu.barcelona bila ya messi kazi bure.
binafs sina tatzo kama anatambua rais wa club kama Barca anatakiwa awe vp ila nahisi huenda anataniaWakuu kwema? Hv mnalionaje swala la pique kutaka urais wa barca baada ya kustaafu.
Hafai hata kuuzwa. Aachiwe tu huruDuuh Jana matheu kazingua. Sijui kwa nn Enrique analipenda hili boya yani ni lakuuziwa ligi Daraja la 3 huko. Alafu pia atafute solution pale Busi anapodrop form maana tutaumia sana. Kutokuepo kwa messi ni shida kubwa tu kwa Luis Suarez. But pique to me is our hero.
Hahaaa umetisha kijanaTUFURAHI KIDOGO
*Jimmy*: Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.
Kademu: Lol,samahani Nina boyfriend wangu.
*Jimmy* : Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.
Kademu : Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.
*Jimmy* : Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.
Kademu : Vyovyote,Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.
*Jimmy* : Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.
Kademu : Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.
*Jimmy*: ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.
Kademu: Hujawahi Kukata tamaa wewe?
*Jimmy*: Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.
Kademu : Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.
*Jimmy*: Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.
Kademu : Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi [emoji35]
*Jimmy* : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.
Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
*Jimmy*: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]