wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
Bado hajatulia,nadhani pressure ni kubwa sana kwake,'Congregations" cules wote. ila Paco angekuwa mtumishi wa serikali yetu wangeshamtumbua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafas mbili za wazi'Congregations" cules wote. ila Paco angekuwa mtumishi wa serikali yetu wangeshamtumbua.
tutapiga kama tunaua nyoka. natamani Roberto na Jordi wawe fiti siku hiyo.Tena wale tutawanyoosha ili wakati mwingine wawe na heshima
sina imani sana na kubadilika, alipokuwa Valencia alicheza mechi 93 na kufunga goli 30. uwiano siyo vutizi kabisa. akiongeza umakkini anaweza badilika.Bado hajatulia,nadhani pressure ni kubwa sana kwake,
Positioning yake ni super, final touch ndio ina mwangusha ila ni suala la muda tu
Granada wabishi sana na wamefungwa na zao letu ISACK QUENCAATM kapigwa kimoja na Grenada kipindi cha kwanza. nasubiria kwa hamu RM.
Afadhali, Real nao wanatakiwa wafungwe game ya LeoATM kapigwa kimoja na Grenada kipindi cha kwanza. nasubiria kwa hamu RM.
mkuu kumbe upo hapo juu kwenye stickiesHuu Uzi vp haupatikan mpaka utafutwe hiv
Asante nishaona mkuumkuu kumbe upo hapo juu kwenye stickies
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umenichekesha aseeKuna wachezaji wapo Barca kwa bahati mbaya. Kama Mathew
Hao jamaa si wazuri kama matokeo yao yalivyo, ATM walibanywa sana hadi dk ya 60 ,baadae Granada wakajichanganya wenyeweDuuuh hawa Granada ndio hewa kabisaaaaa yani wamekula 7:1
HAWA ATM wa kuwaangalia kwa jicho la pili japo la kufurahisha Greezman hajafunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna wachezaji wapo Barca kwa bahati mbaya. Kama Mathew
kadai utakuwa ni mkataba wake wa mwsho na Ijumaa Neymar atasaini mkataba utakaomuweka Barca hadi 2021Javier Mascherano amesaini mkataba mpya utakao mweka klabuni barcelona mpaka mwisho wa msimu wa 2017-2018.