FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

'Congregations" cules wote. ila Paco angekuwa mtumishi wa serikali yetu wangeshamtumbua.
Bado hajatulia,nadhani pressure ni kubwa sana kwake,

Positioning yake ni super, final touch ndio ina mwangusha ila ni suala la muda tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
'Congregations" cules wote. ila Paco angekuwa mtumishi wa serikali yetu wangeshamtumbua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafas mbili za wazi
 
Bado hajatulia,nadhani pressure ni kubwa sana kwake,

Positioning yake ni super, final touch ndio ina mwangusha ila ni suala la muda tu
sina imani sana na kubadilika, alipokuwa Valencia alicheza mechi 93 na kufunga goli 30. uwiano siyo vutizi kabisa. akiongeza umakkini anaweza badilika.
 
ATM kapigwa kimoja na Grenada kipindi cha kwanza. nasubiria kwa hamu RM.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Duuuh hawa Granada ndio hewa kabisaaaaa yani wamekula 7:1
HAWA ATM wa kuwaangalia kwa jicho la pili japo la kufurahisha Greezman hajafunga
 
Duuuh hawa Granada ndio hewa kabisaaaaa yani wamekula 7:1
HAWA ATM wa kuwaangalia kwa jicho la pili japo la kufurahisha Greezman hajafunga
Hao jamaa si wazuri kama matokeo yao yalivyo, ATM walibanywa sana hadi dk ya 60 ,baadae Granada wakajichanganya wenyewe

Jambo baya msimu huu kwetu barca ni kwamba hadi goal difference tunapitwa,Hii inatokana Na team selection,nadhani Kocha amesharidhika na mafanikio aliyoyapata sasa ameanza Kupanga kikosi kishikaji au kuna kitu anataka kuprove

Akipanga kikosi kisichoeleweka kwa man city (hasa hawa wachezaji wageni wengi ambao wengi hawajui hata raha ya ushindi on big stage) ,nathubutu kusema man city watatufundisha adabu
 
Back
Top Bottom