kuna kitu inanimix. nani anakaa right back?
Kuna watu wanaompenda Mathiew du hii hatari!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NAONA MATHIEW KIPENZI CHA WENGI ANAPASHA
Google website ya VIP league then utaingia tab ya football utakuta game zote kisha utachagua ya barca utakuta link nyingiwakuu nataka kustream live game yetu vs man city kwa kutumia PC...nitumie web gani...? nadhani mmenielewa
naona jamaa amejoke🙂 ila mechi na derpotivo alijituma.Kuna watu wanaompenda Mathiew du hii hatari!!!