FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1476903921069.jpg
 
DAKIKA YA 38

PIQUE OUT

MATHIEW IN

BARCELONA 1 CITY 0

MESSI GOAL
 
jamaa huu mtindo wa kukabia kwetu unaniweka roho juu. ila una wafanya wawe prone kwa counter.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
wakuu nataka kustream live game yetu vs man city kwa kutumia PC...nitumie web gani...? nadhani mmenielewa
Google website ya VIP league then utaingia tab ya football utakuta game zote kisha utachagua ya barca utakuta link nyingi
Utachagua link kulingana na lugha utakayo.
 
Back
Top Bottom