FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

yaani everlenk unashangaza sana. mwanaume anayekutunza kwa kandanda safi, magoli na vikombe umemuweka mchepuko na kuolewa na mtu hana hata swagga, cheki alichofanya this monday! PNC 1 naomba muite jackline amshauri, labda wadada kwa wadada wataelewana.
Kausha basi Red Giant[emoji85] [emoji85] !!!...... soka nilianza kulipenda Spain ila fitina na mbwembwe za England zanivutia zaidi nikajikuta nimetua huko....
 
Kausha basi Red Giant[emoji85] [emoji85] !!!...... soka nilianza kulipenda Spain ila fitina na mbwembwe za England zanivutia zaidi nikajikuta nimetua huko....
umeacha mpira mzuri sababu ya mbwembwe! si ndiyo kutema banzoka kwa karanga za kuonjeshwa? nacheki mechi yenu hapa, so far mmejitahidi leo.
 
Mkuu Jonax vipi mambo? aise naona ronaldo hakupendezewa wenzake walivyokua wanatupia...yeye hata kakubahatisha tu kashindwa😀😀😀
[emoji23] acha mboyoyo ww..
Mbona hamuangalii Cr7 alichokifanya kwenye national team kufunga magoli manne na ku-assist moja
 
[emoji23] [emoji117] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Haya bhana, team Ness jitahidini hata muifikie Madrid makombe ya UEFA ili tusiwaache mbal sana.. mwisho wa siku tuonekane tuna dharau
Nyie yale makombe ya EUFA Champions mengi ya miaka ya zamani sana . Karne hii ya kizazi changu Barca kakuzidi.
 
[emoji23] acha mboyoyo ww..
Mbona hamuangalii Cr7 alichokifanya kwenye national team kufunga magoli manne na ku-assist moja

Hapa tunazungumzia uefa league @ jonax...Ronaldo kafanya nini? J4 mmecheza na legia warsaw ambayo inashikilia nafasi ya 13 katika ligue yao,ronaldo kashindwa kutupia hata moja! Hicho kitim hata kingekutana na mbao fc kingekula kichapo😀😀
 
[emoji23] Siyo lazima afunge yeye, anaweza pia akatengeneza nafasi kwa wengine kufunga.
 
Kitu kimoja nnachopenda toka kwa Messi, NI UMAKINI WA KUFUNGA GOLI.

Huyu Jamaa ni hatari sana anapokuwa na Goal. Sijui kwanini Suarez na Neymar wasikae chini wakafundishwa na Messi. Yale magoli ya jana yamenikumbusha mbali sana kipindi nacheza mpira. Nilikuwa fundi sana wa magoli ya kutisha na ya kumpeleka kipa wrong direction. Mimi Messi kanizidi kwenye kuchop tu.

😀Messi ni kipaji kutoka kwa God, hakufundishwa na mchezaji yeyote yule!
Akiwa na miaka 4 alikuwa professional player alijiunga katika timu ya Grahdoli ambayo kocha alikuwa baba yake. Akiwa na miaka 11 bibi yake alifariki na ndipo alianza kushangilia kwa goli kwa kuangalia juu na kunyoosha videle hewani kwa ishara ya kumkumbuka bibi yake.

Akiwa na miaka 6 alijiunga na Newells (Old Boys)sport club na kuwafungia magoli 500,

messi sio mchoyo wa kutoa il'mu kwa wenzake, labda kama watakua vichwa ngumu tu, maana kwa miaka yote hiyo wamekuanaye pamoja ndani ya tim lkn wameshindwa kuonesha wonders....

mkuu unamuonaje lkn Aguero ? ,huyu jamaa hatari sana akiwa ndani ya 18, tungempata safi sana.
 
Nilikuwa nasemaga sana kuwa Pep ni kocha wa kawaida tu ila watu mkawa mnabeza. Barca ni Messi, ni hatari mno huyu mtu.

Siku zote messi akiwemo kikosini inakua sio Barcelona team!

Messi ndie team yenyewe haswaa, anapokosekana huwa nakosa amani kabisaa,na kuipa %ndogo sana ya ushindi! Kwakeli Ktk maisha yangu sijapata kuona player kama messi, messi ni burudani, messi ni wadunia nzima, dunia yote macho kwa messi, mpira wenyewe unatamani kila baada sekunde umfikie messi mwenyewe,

Ahsante King Messi'
 
😀Messi ni kipaji kutoka kwa God, hakufundishwa na mchezaji yeyote yule!
Akiwa na miaka 4 alikuwa professional player alijiunga katika timu ya Grahdoli ambayo kocha alikuwa baba yake. Akiwa na miaka 11 bibi yake alifariki na ndipo alianza kushangilia kwa goli kwa kuangalia juu na kunyoosha videle hewani kwa ishara ya kumkumbuka bibi yake.

Akiwa na miaka 6 alijiunga na Newells (Old Boys)sport club na kuwafungia magoli 500,

messi sio mchoyo wa kutoa il'mu kwa wenzake, labda kama watakua vichwa ngumu tu, maana kwa miaka yote hiyo wamekuanaye pamoja ndani ya tim lkn wameshindwa kuonesha wonders....

mkuu unamuonaje lkn Aguero ? ,huyu jamaa hatari sana akiwa ndani ya 18, tungempata safi sana.
Mkuu, wewe sasa ndo shabiki wa Barca sio kama PNC. Wakati nasoma Post gako nilikuwa nakula, kwa heshima yako nikaona sio vema kukujibu wakati nakula.

Mkuu, inapendeza sana mtu ukiwa na fact za wachezaji kama hizi, wewe ni tofauti na mashabiki wengine wa Barca.

PNC kaja Barca baada ya Messi kuweka mpira wavuni mara 4 dhidi ya Arsenal pale Camp Nou. Jamaa aliapa kuwa Arsenal akipigwa na Barca atahamia moja kwa moja Barca. Sasa mtu kama huyu hawezi kuwa na Fact za Messi kama hizi.

Binafsi kati ya namba 9 nnazozikubaki duniani, namba 1 ni Kun Aguero, anafuata Lewandowski. Suarez halikuwa chagua sahihi kwa Barca badala ya Aguero ila tulimchukua Suarez sababu sio mtu wa kupata majeruhi mara kwa mara. Magoli ya Aguero hayafananii na EPL, ni magoli kama ya Messi. Ni mtu makini mno ktk ufungaji na hatumii nguvu nyingi kama Suarez. Yupo kawaida sana, anakokota, anapiga chenga na anaweka mpira wavuni. Aguero na Lewandowski nawakubali mno hawa watu kuliko hata Suarez.
Asante!
 
Siku zote messi akiwemo kikosini inakua sio Barcelona team!

Messi ndie team yenyewe haswaa, anapokosekana huwa nakosa amani kabisaa,na kuipa %ndogo sana ya ushindi! Kwakeli Ktk maisha yangu sijapata kuona player kama messi, messi ni burudani, messi ni wadunia nzima, dunia yote macho kwa messi, mpira wenyewe unatamani kila baada sekunde umfikie messi mwenyewe,

Ahsante King Messi'
Halafu wapumbavu wanataka Messi aende EPL, hivi kaka kwanini tusianzishe thread ya Messi?
 
Back
Top Bottom