FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi mbn sielewi fact ya kuwa tumecheza CL jumatano then League leo halafu bado Jumatano tunacheza.
Huku team kama Madrid na ATM zilicheza games za CL lkn wao wamepewa siku moja ya kupumzika. Sielewielewi hii ratiba.
 
Reactions: PNC
Duuuh this is really bad news. Iniesta could be sidelined out for 3-4 months.
Tusubiri hiyo test kesho.
 
Hivi mbn sielewi fact ya kuwa tumecheza CL jumatano then League leo halafu bado Jumatano tunacheza.
Huku team kama Madrid na ATM zilicheza games za CL lkn wao wamepewa siku moja ya kupumzika. Sielewielewi hii ratiba.
naona Madrid wana copa del rey jtano wakati hiyo jtano tuna catalunya super cup na espanyol.
 
Reactions: PNC
kamanda iniesta dah injury msim mzima out[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Reactions: PNC
Sasa hivi si ana uhakika wa namba? Ameanza kujisahau mshamba huyu.
I must have seen a different game-Stergen ana kosa?? sio defence inajichanganya? In reality opposition wamekuja na energy ya ajabu-All in all Suarez angechukua chances zinazomwangukia hawa Valencia wasingepata a sniff
 
mkuu upo? kwenye goli la Munir alisimama kama mti. sikuona mechi na Celta ila nimesikia commentantors wakisema alikuwa na performance mbaya.
 
Naona wanajipongeza baada ya mbeleko kupita

Yaani mbeleko ya waziwazi. Mara zote hawa jamaa wakicheza Mestilla Stadiun lazima wapewe bao dakika ya lala salama. Maajabu sana. Ref ruined the game bila aibu
 
Reactions: PNC
Yaani mbeleko ya waziwazi. Mara zote hawa jamaa wakicheza Mestilla Stadiun lazima wapewe bao dakika ya lala salama. Maajabu sana. Ref ruined the game bila aibu
Hayakuhusu. Na wewe kabebwe
 
Reactions: PNC
Tunaongea kuhusu fair game. Sasa hayanihu ndio unasema nini?
It was fair and that is football. Fungua kesi kama umechukia na umeona upande wako haukutendewa haki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Reactions: PNC
mkuu upo? kwenye goli la Munir alisimama kama mti. sikuona mechi na Celta ila nimesikia commentantors wakisema alikuwa na performance mbaya.
Goal la Munir,mpira kauona late tokana na kuzibwa na wachezaji. Barca tumezoea ku win games comfortably hatupendi ku sit on the edges of our seats kama fans wa Real madrid-tusipo take chances mbele ya goal hizi team ndogo zina live in hope.Endapo chances za jana tungepatia hawa Valencia half ya pili wangerudi wamechoka. Barca must strive to kill off teams
 
jana nilikuwa nacheki rekodi za makipa laliga 2015-16 za stegen siyo vutizi kabisa. alicheza mechi 7 na kuruhusu goli 7. Bravo alicheza 32 na kuruhusu 22. kwa uwiano huo Stegen angecheza 32 angeruhusu goli 32. Bravo alipigiwa mashuti 104 na kuokoa 84, ni kama 80% stegen alipigiwa 20 na kusave 13, kama 65%. katika mechi 7 ana cleansheets 2 wakati bravo ana 15 kwa mechi 32. kwa huo owiano stegen angecheza mechi 32 angekuwa na kama cleansheets 9 tu. ukilinganisha Navas, Oblak, Bravo na stegen, Stegen yuko kiwango cha chini sana. kwakweli tuna tatizo la kipa.
 
Na cillessen ndo simuamini kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…