Kudaka penalt ni kubahatisha bana-hakuna ufundi wa kudaka penalt-Goalkeepers wote wana dive kabla haijapigwa alaafu anaomba God akutane nao-ndio maana wengine umlenga keeper because wanajua lazima ata dive left or righttuna pengo kubwa kule nyuma. mi naona jana Diego Alves alikuwa njema kuliko Ter. hata ile penalty chupuchupu ainase.
umeongea kitu cha maana japo Jackline atamtetea [emoji4]jana nilikuwa nacheki rekodi za makipa laliga 2015-16 za stegen siyo vutizi kabisa. alicheza mechi 7 na kuruhusu goli 7. Bravo alicheza 32 na kuruhusu 22. kwa uwiano huo Stegen angecheza 32 angeruhusu goli 32. Bravo alipigiwa mashuti 104 na kuokoa 84, ni kama 80% stegen alipigiwa 20 na kusave 13, kama 65%. katika mechi 7 ana cleansheets 2 wakati bravo ana 15 kwa mechi 32. kwa huo owiano stegen angecheza mechi 32 angekuwa na kama cleansheets 9 tu. ukilinganisha Navas, Oblak, Bravo na stegen, Stegen yuko kiwango cha chini sana. kwakweli tuna tatizo la kipa.
Kabisaaaaaa hawa jamaa wameng'ang'aniwa sanaKule kwa adui kunaungua[emoji16][emoji16]
82' wamepigwa moja bila. Tuzidishe maombi
ni mwendo mdundo mkuu ila nafikiri tupo palepalesi mwendo mdundo, one down one to go.
kabla ya weekend hii tulikuwa wa 4. leo RM akishinda tutakuwa wa 3. nimefurahi kumshusha ATM.ni mwendo mdundo mkuu ila nafikiri tupo palepale
Huyu hatakiwi kushinda mkuukabla ya weekend hii tulikuwa wa 4. leo RM akishinda tutakuwa wa 3. nimefurahi kumshusha ATM.
Mkuu nilikuwa na msanifu huyo anaesema barca inabebwa na messi, sasa ndio nilikuwa na mwuliza kwani messi sio mchezaji was barca?KWANI WEWE UPO THREAD GANI??
Mkuu huyu Mathew simpendi kwa kweli lkn sema kwasaizi wakiumia wengine kama hayupo itakuwa shida sana, siunaona kule kulia tunapata shida mpaka macherano anaenda kucheza kisa hatuna replacement ya sergi!!! Alex Vidal wa uonga sana naemtoto mdogo(Messi) kamvua nguo baba yake mdogo(Pep) hadharani....hahahah king leo
hivi uyu Mathiue si aondoke ata kwa mkopo January...simuelewagi kabisa mimi
Tuko pamoja mkuuMkuu nilikuwa na msanifu huyo anaesema barca inabebwa na messi, sasa ndio nilikuwa na mwuliza kwani messi sio mchezaji was barca?
TUZO HII NI YA MESSI