FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Win is Win [emoji122] [emoji122] [emoji122] .....ila Jana aiseee ilikuwa imbombo ngafu !!!
Mpira kitu cha ajabu sana. Hawa hawa granada walichezea 7 kwa atletico madrid jana wametutoa jasho namna hii! Hata hivyo point tatu kibindoni tunakimbiza kimya kimya.
 
I must have seen a different game-Stergen ana kosa?? sio defence inajichanganya? In reality opposition wamekuja na energy ya ajabu-All in all Suarez angechukua chances zinazomwangukia hawa Valencia wasingepata a sniff
Nimeji quote-Suarez must take his chances in front of goal-anatakiwa awe na composure mbele ya goal kama alivyokuwa mwaka jana-Messi na Neymar kufunga goal ni bonus-Suarez ndio hitman pale kati he has to bury the ball in the net.Barca jana defence walikuwa wanacheza high up,hii hatari when you are leading by a lone goal refa akijisahau kwenye offside mnafungwa.Again team hizi ndogo wana pack defence with bodies wanavizia wakupige na sucker punch,mkikosa kosa goals wana sniff a giant killing act
 
We jackline marry me basi..maana sitakuwa na haja ya kutoka nje usiku kwenda kung'ang'ana kumsikiliza mwalimu kashasha akibabaisha..sio siri you captivated my soul and everyday I want to hear your comments more and more.

If ya down with that we can seal a deal senorita.

Hasta la vista!
 

Kama haupo kwenye media basi somea jappo kidogo
hii passion yako sio mchezo
utapendeza ukiwa kwenye radio au tv ukizungumza kuhusu football
 
BARCELONA KESHO TUNAELEKEA ENGLAND KUCHEZA NA MAN CITY

LA KUJIKUMBUSHA

MESSI
MECHI 2
HAT TRICK 2
GOLI 6
ndiyo maana kocha alimpuumzisha busketi? ila kukosekana Pique, Iniesta na Alba kunanipotezea confidence. timu yetu ukiacha first eleven hatuna sub za kutisha. RM unakuto anatoka Benzema anaingia Morata. sisi anatoka Suarez anaingia Paco au dennis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…