Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mambo hayakuwa mazuri kwao wangepewa hata 5.naona Messi hakucheza jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo hayakuwa mazuri kwao wangepewa hata 5.naona Messi hakucheza jana.
wangepewa tu......walikuwa wanastahili kabisa.Mambo hayakuwa mazuri kwao wangepewa hata 5.
Yaah! upepo ulivuma vibaya kwao city walitakata kweli nadhani pia iniesta na pique kutokuwepo kuliwanyong'onyeza ila ndio mpira huo una matokeo matatu wajipange maana hata game yao na granada ilikuwa tia maji tia maji.wangepewa tu......walikuwa wanastahili kabisa.
kukosekana kwa Alba pia. hii ilisababisha Umtiti awe anaenda left back kusaidia. kati palipwaya kumkosa Iniesta hadi Messi akawa anakuja kusaidia mara nyingi. timu haikuwa vizuri.Yaah! upepo ulivuma vibaya kwao city walitakata kweli nadhani pia iniesta na pique kutokuwepo kuliwanyong'onyeza ila ndio mpira huo una matokeo matatu wajipange maana hata game yao na granada ilikuwa tia maji tia maji.
Yaah! hata mimi niliona hivyo hicho ndicho kiliwagharimu barcakukosekana kwa Alba pia. hii ilisababisha Umtiti awe anaenda left back kusaidia. kati palipwaya kumkosa Iniesta hadi Messi akawa anakuja kusaidia mara nyingi. timu haikuwa vizuri.
NANI ANAPOKEA RAMBIRAMBI JAMANI???, NINA KARAMBIRAMBI CHA KINAFIQ HAPA!!!Uko sahihi yani Barcelona nje ya first eleven hatuko vizur sana
KAMA KAWA KAMA DAWA KWA KISHIIIIIIIINDO TUNAMRARUA MUONGOZA LIGI WA EPL
Yaani hukutaka kuficha wajue kabisa rambirambi yako ni ya kinafiq kabisa tuwape pole ya kiungwana tuondoke zetu.NANI ANAPOKEA RAMBIRAMBI JAMANI???, NINA KARAMBIRAMBI CHA KINAFIQ HAPA!!!
UEFA wewe na kocha wako mtaishia kuiona videoniNANI ANAPOKEA RAMBIRAMBI JAMANI???, NINA KARAMBIRAMBI CHA KINAFIQ HAPA!!!
UEFA wewe na kocha wako mtaishia kuiona videoniYaani hukutaka kuficha wajue kabisa rambirambi yako ni ya kinafiq kabisa tuwape pole ya kiungwana tuondoke zetu.
Tumekuja kuwafariji wafiwa jamani haya mengine yanatoka wapi? salama lakini huko?UEFA wewe na kocha wako mtaishia kuiona videoni
Za siku nyingi.UEFA wewe na kocha wako mtaishia kuiona videoni
za siku nyingi njema kabisa mkuu Th Name[emoji4]Za siku nyingi.
Nipe matokeo ya juzi
I watched the game-nimeshindwa hata ku analyse what went wrong-its been quite long since I saw Barca this bad-was it MSN out of form? Midfielders not up to the task? or the defence? No answers at all but one thing, we were beaten fairly and squarely. To fall down and rise up again is not a crime- Barca till my last breath
Za hapa salama na wafiwa ni city sababu katika kundi letu sie ndio tunaongoza[emoji4] [emoji4]Tumekuja kuwafariji wafiwa jamani haya mengine yanatoka wapi? salama lakini huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha hizo nataka matokeo. Kuna mtu anabisha hapa eti anasema Barcelona hawezi kupigwa goli tatu[emoji12]za siku nyingi njema kabisa mkuu Th Name[emoji4]
kuhusu matokeo ni kuwa TUNAONGOZA KUNDI
VIVA BARCELONA
Hujamnukuu vibaya kweli? Bailly5 kataka matokeo ya mechi ya juzi weye unatoa msimamo wa kundi lenu.za siku nyingi njema kabisa mkuu Th Name[emoji4]
kuhusu matokeo ni kuwa TUNAONGOZA KUNDI
VIVA BARCELONA
Guadiola kasema,"this is a milestone,at least in our lifetime we can say we beat the best team in the planet" At least ana admit kwamba Barca ni muziki mkubwaThere was no red card, ilikuwa game ya 11 X 11. Man City proved us correct.
kiujumla Barcelona ilishinda AGG ya 5:3 huku MESSI akitupia 4 [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha hizo nataka matokeo. Kuna mtu anabisha hapa eti anasema Barcelona hawezi kupigwa goli tatu[emoji12]