FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yaah! upepo ulivuma vibaya kwao city walitakata kweli nadhani pia iniesta na pique kutokuwepo kuliwanyong'onyeza ila ndio mpira huo una matokeo matatu wajipange maana hata game yao na granada ilikuwa tia maji tia maji.
kukosekana kwa Alba pia. hii ilisababisha Umtiti awe anaenda left back kusaidia. kati palipwaya kumkosa Iniesta hadi Messi akawa anakuja kusaidia mara nyingi. timu haikuwa vizuri.
 
I watched the game-nimeshindwa hata ku analyse what went wrong-its been quite long since I saw Barca this bad-was it MSN out of form? Midfielders not up to the task? or the defence? No answers at all but one thing, we were beaten fairly and squarely. To fall down and rise up again is not a crime- Barca till my last breath
 
kukosekana kwa Alba pia. hii ilisababisha Umtiti awe anaenda left back kusaidia. kati palipwaya kumkosa Iniesta hadi Messi akawa anakuja kusaidia mara nyingi. timu haikuwa vizuri.
Yaah! hata mimi niliona hivyo hicho ndicho kiliwagharimu barca
 

There was no red card, ilikuwa game ya 11 X 11. Man City proved us correct.
 
za siku nyingi njema kabisa mkuu Th Name[emoji4]

kuhusu matokeo ni kuwa TUNAONGOZA KUNDI
VIVA BARCELONA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha hizo nataka matokeo. Kuna mtu anabisha hapa eti anasema Barcelona hawezi kupigwa goli tatu[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…