Messi kachukua la liga mwaka huu kwa sababu ya suarez lakin na yeye nampa sifa yake. Iniesta ndio alifunga goli kwenye fainali ya dunia lakin hadi kina Ramos wana pata sifa ya kuwa mabingwa wa dunia. So wala siyo shda hiyo mkuu mpira ni mchezo wa teamwork pia.Duh Kwahiyo hata kombe la mataifa ya ulaya anajivunia vile vile?? na siyo tim yenyewe kwa msaada wa elder??
Ndio king of football huyoAlaf cr7 tangu lini amekua King tena?
Sijawahi ku under estimate uwezo wa Maradona hata siku moja.ulishawahi kusikia cr7 anafananishwa na Diego?? Isipokuwa messi tu ndie kafananishwa nae...huyo cr7 kipindi cha diego angekua mchezaji wa kawaida sana, asingeambulia chochote nakwambia...
😀Diego' Kuna wonders nyingi mno kafanya, mbali na yale aliyoyafanya uingereza na ujerumani n.k....nenda kamcheki Napoli,sevilla,Boka n.k.....
Mwisho wa yote nataka nikwambie tu' messi is the father of all players in the world......waulize makocha wenger,fergi,pep n.k watakuambia....
King MmoroccoNdio king of football huyo
King cr 7
Ni mreno Cr 7King Mmorocco
Messi kachukua la liga mwaka huu kwa sababu ya suarez lakin na yeye nampa sifa yake. Iniesta ndio alifunga goli kwenye fainali ya dunia lakin hadi kina Ramos wana pata sifa ya kuwa mabingwa wa dunia. So wala siyo shda hiyo mkuu mpira ni mchezo wa teamwork pia.
Halafu ni kweli eder ndio aliwapa kombe kwa kuwa aliwavusha makundi, akawavusha robo na nusu final halafu aka wapa kombe lao[emoji13] [emoji13]
Hahahahaaa naona tunataniana sasa...Messi umfananishe na Cr7? kwa lipi haswaa? Ivi unajua barca bila messi si chochote? Hulijui hilo? Ronaldo alicheza kama 18mins akatoka....ku-score sio sababu nadhani ulimshuhudia Messi majuzi na espanyol!!! Suarez alifunga ngapi? Messi alifunga ngapi? Alba alifunga ngapi?
Two goals from Luis Suarez and a scintillating Lionel Messi display helped Barcelona to a 4-1 Catalan derby win over Espanyol on sunday...
Suarez amefunga in each half be4 Jordi Alba added a third, but ilikuwa some astonishing footwork kutoka kwa Messi that brought Camp Nou to its feet as the home fans celebrated a victory that takes them back into second place in La Liga.
alifunga goli 2, alimzidi messi...kwa-hiyo unataka kuniambia aliyefunga magoli mengi ndiye bora?😀😀
Huyo mmoroco kajaa mbelekoNapita tu ila tayari imevuja msiyempenda ndie" FIFA player of the year 2016 " sasa niwasihi muwe wavumilivu atakapo kabidhiwa award, si kila mnachokipenda ni sheria tuvumiliane.zamu ya mnayempenda ni mwaka 2017 maana wanabadilishana hawa mpaka wastaafu soka
umekomenti kinyoooongeeee mpaka unatia huruma aisee!Huyo mmoroco kajaa mbeleko
PovuuuHuyo mmoroco kajaa mbeleko
Ntakuja kuwatembelea hawa jamaa sku hiyo hapa[emoji28]umekomenti kinyoooongeeee mpaka unatia huruma aisee!
messi hamuwezi cr7 asilani!
Jiandaeni kisaikolojia!
wameshalegea, cr7 amebeba kila kitu isipokuwa world cup~hilo nalo wakaE nalo chonjo huyu jamaa anaweza kulibeba hivi hivi huku wakiona alafu baadaye waje walete lawama hapa kama ilivyokuwa kwenye EURO2016!Ntakuja kuwatembelea hawa jamaa sku hiyo hapa[emoji28]
Maana najua watatoka povu ni hatari
Thubutuuuuwameshalegea, cr7 amebeba kila kitu isipokuwa world cup~hilo nalo wakaE nalo chonjo huyu jamaa anaweza kulibeba hivi hivi huku wakiona alafu baadaye waje walete lawama hapa kama ilivyokuwa kwenye EURO2016!
jiandaeni lawama za EURO2016 Hatutaki kuzisikia tena!Thubutuuuu
Fifa wanaendelea kujitia aibujiandaeni lawama za EURO2016 Hatutaki kuzisikia tena!
Andunje hadi anafukiwa kaburini kwake copa america na world cup hatakaa ayagusee! zaidi zaidi atakuwa anaona picha tu kwa akina iniesta & artudo vidal!Mmoroco hadi kufa kwake hatofika hata fainali world cup